*Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.
NDOANO YA KISASA: Sayansi na Sanaa ya Kuvutia Mafuriko ya Wateja 🔥
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Rafiki Yangu...
Hapo Zamani,
Nilikuwa nauza kwa shida, nikiomba, nikibembeleza, na mara nyingi kuonekana msumbufu.
Wateja walinikimbia.
Ndipo nilipokutana na NDOANO YA KISASA, kitabu kinachofundisha jinsi ya kuvutia wateja bila kuomba, kulazimisha, au kubembeleza.
Hatua kwa hatua nilijifunza kuvuta wateja kwa heshima, na leo mauzo yangu yamepanda zaidi ya nilivyowahi kufikiria.
Pata nakala yako sasa kwa Tshs 19,999 TU! Ofa hii ni ya muda mfupi.
Nakupa ofa hii kwasababu leo macho yananiuma.
Tuma ujumbe “NDOANO” kwenda 0755376891.
Jifunze sayansi na sanaa ya kuvutia wateja wengi bila kuomba
kubembeleza
kulazimisha au kuonekana msumbufu
ndoano ya kisasa
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Machapisho maarufu kutoka blogu hii
Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA...
Ukipitia hii, kumbukumbu zako zitakuwa kama za kasuku aliyefundishwa kuimba chorus ya Diamond... Kakaa/Dadaa Yangu... Unasoma kitabu leo… Kesho haukumbuki hata ukurasa wa kwanza. Ukiulizwa ulichojifunza, unazubaa kama umepigwa na butwaa. Unajikuta unasoma tu ilimradi umalize, si kwa sababu unaelewa au utakumbuka. Yani unatumia muda wako kusoma… Unaweka akiba ya maneno kichwani… Halafu akili inafuta kila kitu kama flash drive yenye virus! Unasoma vitabu vingi, ila akili haina ushahidi wowote. Inapoteza kumbukumbu kama ex wako aliyesahau yote mliyowahi kupitia. Lakini mbona kuna wengine wakisoma, wanakumbuka hadi mistari ya mwisho? Hii ndo pointi ya kukasirikia! Sio kwamba Huna Akili. Sio kwamba huna uwezo. Ni mbinu tu unazotumia ndizo za kizamani. Zile za kukariri bila kuelewa, au kusoma harakaharaka kama unakimbizana na deadline ya NECTA. Zisahau. Hapa nakuletea...
Faida 7 Za Kipekee Za Kusoma VITABU Kila Siku Hata Kama Ni DAKIKA 10 TU!
Kakaa/Dadaa Yangu... Watu wengi wanalalamika hawafanikiwi. Wanajitahidi sana lakini hakuna hatua zozote wanazopiga. Wengine kila siku wako online lakini akili zao ziko offline. Kila mtu anatafuta "shortcut ya mafanikio", lakini wanakosa kitu kimoja cha msingi... Kusoma vitabu. Ndiyo, hata kama ni dakika 10 tu kwa siku, inaweza kubadilisha kila kitu. Hebu fikiria… Miaka mitano ijayo, utakuwa mtu yule yule tu, isipokuwa tu kwa vitu viwili: Vitabu ulivyosoma, na watu ulioambatana nao. Sasa kama kila siku unasoma status, memes na story za watu… Lakini huwezi kusoma hata ukurasa mmoja wa kitabu, unajidhulumu mwenyewe. Mafanikio hayaji kwa kuomba omba—yanakuja kwa maarifa. Na maarifa yapo vitabuni. Ukikwepa kusoma leo, utajikuta unakumbana na matatizo yale yale kesho. Kuna watu wanasema, “Mimi siwezi kusoma vitabu.” “Nachoka haraka.” "Usomaji sio vitu vyangu." Wanajikosea sana. Hakuna mtu yeyote aliyezaliwa akij...
Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...
Mpendwa Rafiki, Tatizo ni moja tu: Unataka kufanikiwa. Unataka kujenga biashara. Unataka kuvutia wateja bila kuwa kero. Unataka maisha bora, lakini hujui uanzie wapi. Unasikia watu wanatoka mbali kimaisha kwa kutumia maarifa, lakini wewe kila ukijaribu hakuna kinachotiki. Na najua kabisa… si kwamba huna akili. Si kwamba huna bidii. La hasha! Tatizo ni moja: haujapewa ramani. Haujapewa mfumo. Haujajifunza maarifa sahihi. Kuna jambo linakuumiza kimya kimya… Watu unaowaona wanaendelea wengi wao sio wa ajabu sana. Wana siri moja tu: maarifa ya ndani. Maarifa ya vitabuni. Maarifa ambayo hayafundishwi mashuleni. Wanaelewa “mbinu za kuuza”, wanaijua “copywriting”, wanaelewa “psychology ya mteja”, ...na wanajua jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji mkubwa. Wewe pia unaweza kujifunza. Wewe pia unaweza kugeuza akili yako kuwa hela. Lakini lazima ukubali ukweli mmoja: mafanikio hayaji kwa kubahatisha. ...
.jpg)
Maoni
Chapisha Maoni