Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya #VitabuVyaMaisha #MafanikioKupitiaVitabu #BiasharaNaVitabu #KusomaNiNguvu #MindsetYaMafanikio #Ujasiriamali #RobertKiyosakiKiswahili #VitabuVyaPesa #MkufunziRamadhan

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Vitabu Gani Vilibadilisha Maisha Yangu?

Picha
 ‎ Kakaa/Dadaa... Vinaweza Kubadilisha Yako Pia. ‎ ‎Ndiyo Leo. ‎ ‎Miaka kadhaa nyuma... nilikuwa na akili lakini maisha yalikuwa hayanisikii. ‎ ‎Nilikuwa najua mambo mengi, ila siyo yanayoweza kulipa bili. ‎ ‎Nilikuwa naenda kusoma vitabu vya shule tu, vitabu vyenye mistari mingi isiyoeleweka. ‎ ‎Vyenye theory nyingi lakini maisha yangu halisi hayabadiliki. ‎ ‎Unajua uchungu wa kujua sana lakini huna kitu? ‎ ‎Kila mtu anakuita mwerevu ila huna ata buku mfukoni? ‎ ‎Kila mtu anakusifia una akili ila huwezi kumsaidia hata mama yako elfu tano? ‎ ‎Ni kama una cheti cha kuogelea lakini unaishi jangwa. ‎ ‎Unajua kuelea, lakini hakuna maji! ‎ ‎Hapo ndo nilijua, kuna kitu kimekosewa. ‎ ‎Nilivyokaa chini nikagundua kitu kimoja. ‎ ‎Sio vitabu vyote vina uwezo wa kubadilisha maisha. ‎ ‎Kusoma tu hakutoshi—swali ni: unasoma nini? ‎ ‎Unapiga msuli wa vitabu vya lecture, wakati watu waliofanikiwa wanasoma vitabu vya pesa, mindset, ujasiriamali. ‎ ‎Vitabu vya kawaida vinakupa daraja la kupita kwen...