Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya CopywritingManeno ya kuuzaMauzo bila simu Status zinazouzaCopywriting KiswahiliUandishi wa matangazoKuongeza watejaBiashara mtandaoniUandishi wa kuuzaLugha ya kuuza

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Copywriting Ni Nini? Na Kwa Nini Inaweza Kukupa Mauzo Kabla Hata Hujapiga SIMU? ‎

Picha
 ‎ ‎Kaka, Dada Yangu… Hebu niambie ukweli… ‎ ‎Umeshawahi kutuma ofa kwenye WhatsApp group, halafu hakuna aliyejibu? ‎ ‎Umeandika post ya biashara, ukaituma hadi kwa mamako, halafu kimya kimya tu? ‎ ‎Uliweka tangazo kwenye status halafu hakuna hata mtu mmoja wa kuulizia bei? ‎ ‎Inauma. Inakatisha tamaa. Inakatisha ndoto. ‎ ‎Lakini unajua tatizo si biashara yako? ‎Si bidhaa yako. ‎Si bei yako. ‎Na wala si bahati mbaya. ‎ ‎Tatizo ni MANENO unayotumia kuuza. ‎ ‎Yaani Wewe Unafanya Kazi Kama Ng’ombe… ‎Unaamka mapema, unalipia matangazo, unajituma… ‎Lakini pesa? Haziji. ‎ ‎Wengine wanaposti post moja tu, ‎Mpaka watu wanaanza kuomba namba ya kutuma hela. ‎Unashangaa: "Hivi huyu ana nguvu za giza au?" ‎ ‎La hasha! ‎Ana kitu kinaitwa COPYWRITING. ‎ ‎Copywriting ni nini sasa? Hebu nielewe vizuri. ‎ ‎Copywriting ni sanaa ya kutumia maneno ambayo yanamshawishi mtu achukue hatua. ‎Iwe ni kununua… ‎Kudownload… ‎Kusubscribe… ‎Au hata kupiga simu. ‎ ‎Ni maneno yanayogusa akili na moyo. ‎Mane...