Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya jinsi ya kuanza kusoma vitabu mbinu za kupenda kusoma hupendi kusoma vitabu faida za kusoma vitabu njia rahisi za kusoma kusoma vitabu bila kuchoka

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Hupendi Kusoma Vitabu? Hizi Njia 5 Zitakubadilisha Bila Kujua!.... ‎

 ‎Hebu niambie kaka/dada… ‎Ukitaja vitabu unahisi usingizi unakukamata? ‎ ‎Unajikuta unasema, ‎“Aaah mi si mtu wa vitabu bana, sina muda wala mood!” ‎ ‎Sawa. ‎Lakini je… umewahi kujiuliza, ‎Hii tabia ya kukwepa vitabu inakuumiza wapi? ‎ ‎Leo, nitaongea na moyo wako. ‎Sio kwa kukuhukumu. ‎Bali kwa kukupa mwanga wa kubadili maisha… bila stress. ‎ ‎Tatizo si wewe. ‎Tatizo ni mfumo ulivyokufundisha kusoma kama adhabu. ‎ ‎Ulipokuwa shule, ‎uliambiwa usome ili ufaulu mitihani. ‎Sio ili ufanikiwe kwenye maisha. ‎ ‎Hakuna aliyekuambia, ‎*Soma ili ujue namna ya kujiongezea kipato.* ‎*Soma ili ujue kujitetea kisheria.* ‎*Soma ili usilaghaiwe.* ‎ ‎Ndio maana sasa huoni maana ya kusoma. ‎Unahisi ni mambo ya watoto wa chuo tu. ‎ ‎Lakini ukweli ni huu: ‎Watu wote waliofanikiwa wanapata maarifa kupitia vitabu. ‎ ‎Ukitaka kujifunza siri ya pesa ipo kwenye kitabu. ‎Ukitaka kubadilisha mindset ipo kwenye kitabu. ‎Ukitaka kujua mbinu za biashara – ipo kwenye kitabu. ‎ ‎Na wewe bado unasema: ‎“Siwezi ...