Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Wateja Bila Kuomba Kuvutia Wateja Mbinu Za Mauzo Siri Za Wauzaji Kupendwa Na Wateja Hadithi Za Mauzo Uza Bila Kuomba Sumaku Ya Wateja Mauzo Bila Kero Mteja Anakupenda

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Mbinu 3 Rahisi Zitakazokusaidia Na Kufanya Wateja Wakupende Bila Kujipendekeza…

 ‎ ‎Kakaa/Dadaa.... ‎ ‎Unajua shida kubwa ya wauzaji wengi ni nini? ‎ ‎Wanahangaika kuwafanya wateja wawapende… ‎ ‎Wanawafuata wateja kila kona… ‎ ‎Wanaomba omba mapenzi kama wahitaji… ‎ ‎Lakini bado… ‎Wateja hawawaoni! ‎Wateja hawawakumbuki! ‎Wateja hawasikii hata huruma! ‎ ‎Mbaya zaidi, kuna jamaa mwingine hajawahi hata kujitambulisha sana… ‎ ‎Lakini kila mteja anamuita, anamfuata, anamwamini! ‎ ‎Unajiuliza… *Kwa nini sio mimi?* ‎Kwa nini mimi ndo napigwa chenga kila siku? ‎ ‎Ngoja nikuambie kitu cha ukweli… ‎Wateja hawapendi mtu anayeomba sana. ‎ ‎Wanapenda mtu anayewaonyesha thamani… kimya kimya. ‎ ‎Na ndo maana leo nakupa hizi mbinu 3. ‎Mbinu za mtaa. ‎ ‎Rahisi sana… lakini zenye uzito wa almasi. ‎ ‎MBINU #1: Usijiuze, Jionyeshe ‎ ‎Acha kulalamika eti watu hawakunotisi… ‎Wewe jionyeshe tu kwa vitendo. ‎ ‎Jibu comment zao. ‎Watumie ujumbe unaosaidia bila kutegemea chochote. ‎Toa msaada mdogo mdogo kwenye status zako. ‎ ‎Wacha maneno mengi. ‎Tenda. ‎Waonyeshe kuwa upo… bila kuom...