Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Siri Kali Ya Kujenga Hamasa Ya Kusoma Zaidi – Wengi Hawajui Hii Njia Ya Wataalamu

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎🔥 Watu Wengi Wanakufa Maskini SABABU Hii Moja TU (Na Hujawahi Kuisikia Kwa Mtindo Huu) 🔥

 ‎‎Kakaa/Dadaa... ‎ ‎Unajua shida ya watu wengi? ‎ ‎Wanasoma sentensi tatu… wanachoka. ‎Wanapata link ya eBook… wanadownload, hawafungui. ‎ ‎Wanapewa ushauri wa kubadilisha maisha yao… wanaskip, wanacheka. ‎ ‎Na bado wanataka mafanikio. 😂 ‎ ‎Sasa ngoja nikuulize kitu kimoja tu… ‎Kwanini huwa unasoma vitu vichache kisha unaacha? ‎Unajisikia kuchoka? Kukosa muda? Au ni akili inakataa tu? ‎ ‎📍 Hamasa ya Kusoma? ‎ ‎Hii kitu inaitwa CURIOSITY – ile hamu ya kujua zaidi. ‎Ni kama moto mdogo unaowaka ndani. ‎Ukikosa hii kitu kusoma kwako ni kama kulazimisha mtoto kula mboga. ‎ ‎💥 Wengi Wanaoanza Kusoma Wanapotea Kwa Sababu Hii… ‎ ‎Wanadhani mtu huzaliwa tu na hamasa ya kusoma. ‎Eti wengine ndio wameumbwa kupenda vitabu. ‎Eti wao akili zao ni za kuangalia video tu. ‎ ‎Huo ni uongo wa kishetani! ‎Hamasa inajengwa! Inalelewa! Inachochewa! ‎Na nitakuonyesha kivipi. ‎ ‎Hiviii... ‎ ‎Umeshawahi kumuona mtu anavyokodolea macho post ya “Alichomkuta Maiti Usiku…” ‎Au “Jambo la Kushtua Lililotokea...