Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Motivation ya Kusoma

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Utata Wa ELON MUSK: Ana Mamilioni, Lakini Alianza na Kusoma Vitabu Tu?!

Kakaa/Dadaa Yangu...  ‎ ‎Watu wanataka pesa. Mafanikio. Kujulikana. ‎Lakini hawataki kusoma hata ukurasa mmoja. ‎Hawajui siri iko kwenye kurasa. ‎ ‎Wanauliza: ‎*Mbona mimi nastruggle, na sijafika popote?* ‎“Mbona Elon Musk kafika mbali hivyo?” ‎ ‎Sawa. Ngoja nikupee KISA! ‎ ‎Elon Musk sio tu tajiri. ‎Ni mjanja. ‎Ni balaa. ‎Ni jamaa ambaye alisoma hadi vitabu vilianza kumjua kwa jina! ‎ ‎Halafu leo wewe unaniambia, ‎“Hivi kweli kusoma kuna msaada?” ‎Heh! Tulia… ‎ ‎Unajua nini kinaumiza zaidi? ‎Watu wengi wanajua jina lake. ‎Lakini hawajui historia yake. ‎Hawajui alitumia miaka ya utoto wake kusoma vitabu vya science, fiction, na biographies. ‎ ‎Yes, jamaa alikula vitabu kama vitafunwa vya Asubuhi. ‎Siku moja, aliweza kumaliza kusoma kitabu kimoja kwa Siku. ‎ ‎Unaweza wewe? ‎Ama macho yako ni TikTok tu? 😅 ‎ ‎Wacha nikupe ukweli mchungu: ‎Ukipuuza kusoma, usitegemee miujiza. ‎Huwezi kuwa billionaire kwa kutegemea motivation quotes. ‎Unahitaji knowledge ya ukweli. ‎ ‎Na Musk alijua hi...