Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Wateja ZaidiBahati Kibiashara Mauzo MakubwaKuvutia WatejaBiashara Yenye Bahati Njia Za MauzoMafanikio Ya BiasharaWateja Kirahisi Mbinu Za MauzoSiri Ya Wateja

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Siri Ya Watu Kuwa Na Bahati Ya Kuvutia Wateja

Hapo nyuma, ‎ ‎“Nilidhani Bahati Ni Ya Wachache Tu… Mpaka Nilipojua Ukweli Uliofichwa na Waliobahatika” ‎ ‎Nilikuwa na duka dogo la simu na vifaa vya kielektroniki.  ‎Kila siku nilifungua kwa matumaini, lakini wateja walikuwa wachache kama mvua jangwani. ‎ ‎Nilijipa moyo: “Labda kesho itakuwa nzuri.” ‎Kesho ilifika kimya. Wiki ikapita bado hakuna mabadiliko.  ‎ ‎Nilianza kuamini pengine bahati haijawahi kunitazama. ‎ ‎Kisha nikawa na swali la siri moyoni: ‎“Mbona wengine wanauza kila siku, tena bidhaa zinazofanana na zangu? Nini siri yao?” ‎ ‎Siku moja, nilikuwa Facebook nikisoma post za kawaida. Nikakutana na chapisho lenye maneno haya: ‎ ‎“Watu wanajua jinsi ya kuvutia wateja… Wewe je? Siri haiko kwenye bidhaa, iko kwenye akili yako. ‎ ‎ Jiunge na Group la Mafunzo Bure.” ‎ ‎Moyo wangu ulishtuka! Kama vile mtu amenigusa kwenye jeraha. ‎ ‎Nikajisemea, “Hii ni kama imeandikwa kwa ajili yangu.” ‎ ‎Lakini kisha nikaanza kujiuliza: ‎“Hivi haya mambo ya mafanikio mtandaoni si ya ku...