Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya jinsikusomavitabu kunavyoongezakipato

‎Nawezaje Kuwa Mwanafunzi Wa Maisha Kupitia Kusoma Vitabu? ...

 ‎ Hii hapa safari ya kugusa moyo wako. ‎ ‎Nawezaje Kuwa Mwanafunzi wa Maisha Kupitia Kusoma Vitabu?.... ‎ ‎Nilikuwa nimehitimu shule. ‎ ‎Nikiwa na cheti mkononi na ndoto kubwa kichwani. ‎ ‎Lakini maisha yakaniambia: “Karibu kwenye darasa halisi.” ‎ ‎Sikupata kazi niliyoitegemea. ‎ ‎Nikawa najiuliza: "Kwani elimu yangu haikutosha?" ‎ ‎Nilikuwa nimefundishwa mambo ya darasani lakini si maisha. ‎ ‎Siku moja nikakutana na nukuu: ‎ ‎“Don’t let school interfere with your education.” — Mark Twain ‎ ‎Nikaanza kujiuliza: ‎ ‎"Je, kuna elimu nyingine zaidi ya vyeti? Elimu ya maisha?" ‎ ‎Nikapuuzia. ‎ ‎Nikajua vitabu vya darasani tu ndivyo vya maana. ‎ ‎Niliona vitabu vingine kama vya watu walioshindwa. ‎ ‎Mbona havifundishwi shuleni? ‎ ‎Mbona havijasheheni nadharia na mitihani? ‎ ‎Mtu mmoja akanishika begani na kuniambia: ‎ ‎"Unapokoma kuwa mwanafunzi, ndipo unapokoma kukua." ‎ ‎Akanipa kitabu cha “Rich Dad Poor Dad.” ‎ ‎Akaniongeza na kingine:  ‎ ‎“The 7 Habits of ...

‎🧠😱 *Ukweli Mchafu: Huna Pesa Kwa Sababu Husomi!*😳📚

‎Rafiki Yangu, ‎ ‎💔 Unajua kwanini hela inakupiga chenga kila mwezi? ‎Si kwa sababu hufanyi kazi. ‎Wala si kwa sababu huna bahati. ‎ ‎👉🏾 Ni kwa sababu ubongo wako bado upo njaa ya maarifa. ‎Na chanzo kikuu cha maarifa ni kimoja tu: VITABU. ‎ ‎📌 Sikiliza kaka/dada… ‎Watu matajiri huwa hawasomi tu kwa starehe. ‎Wanatafuta kitu kinachowapa nguvu mpya ya kutengeneza pesa. ‎Na mara nyingi, wanakipata kwenye kurasa za vitabu. ‎ ‎⚠️ Sasa hapa ndipo wengi wanaharibikiwa... ‎Unapofikiria kitabu ni *kitu cha shule* tu. ‎Au unasema: ‎ ‎*Mimi siwezi kusoma, sina muda.* ‎*Mbona kuna watu matajiri hawajasoma?* ‎ ‎😤 Stop hiyo mindset ya hasara! ‎ ‎🧠 Soma vitabu sahihi vitabu vya maarifa, fedha, biashara, tabia za mafanikio. ‎Halafu utashangaa unapata idea moja tu… ‎Na idea hiyo inakulipia kodi ya mwaka mzima. ‎Wengine hadi milioni yao ya kwanza walitoka kwenye mstari mmoja wa kitabu! ‎ ‎🔥 Sasa Suluhisho Ndio Hili Hapa: ‎Tumeandaa kitabu kinachobadilisha ubongo kuwa mashine ya pesa. ‎Kinaitwa: ...