Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jinsi ya kuwashinda washindani bila kuwataja

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎ ‎Jinsi Ya Kuwashinda Washindani Bila Kuwataja Bila Vita, Bila Kelele.

 ‎*Wanazidi Kujitangaza, Wewe Watangulie Kimya Kimya* ‎ ‎Kakaa/Dadaa Yangu.... ‎ ‎ ‎Unajua shida kubwa ya watu wengi? ‎Ni kufikiria ushindani ni vita. ‎Kila mtu anataka kupiga kelele, kutaja majina, kushusha wengine ili aonekane juu. ‎ ‎Lakini ukweli ni huu... ‎Watu hawapendi kelele. ‎Wanapenda thamani. Wanapenda kuaminika. ‎Na mtaa hausahau ukitoa kitu cha maana, kimya kimya. ‎ ‎Unataka ushinde sokoni? ‎Usipige kelele. ‎Toa tofauti. ‎ ‎ ‎Lakini sasa ona... ‎Wao kila siku wanapost. ‎Wanapiga picha na wateja. ‎Wanapiga video za “success.” ‎Wanasema wao ndio namba moja. ‎ ‎Na wewe unaanza kuwaza: ‎"Nikikaa kimya, nani atanijua?" ‎"Wateja watawafuata wao, si mimi?" ‎ ‎Mbaya zaidi, wengine wanaanza kukudharau. ‎Wanakuuliza, “We bado upo?” ‎Inaumaaa… ‎ ‎ ‎Sasa sikiliza kaka/dada... ‎Kelele hazijengi heshima. ‎Kelele hazijengi chapa. ‎Na kelele hazileti pesa ya kweli. ‎ ‎Ukweli ni huu: ‎Mteja hataki kujua nani mkubwa zaidi. ‎Anataka kujua ni nani atamsaidia haraka na kwa ...