Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jinsi ya Kuzima Pingamizi 5 Kuu za Wateja | Mauzo Bila Vizingiti | Ziba Objections Mapema na Funga Dili Haraka | Copywriting ya Ushindi

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎🔴 Wateja Wana Sababu 5 Tu Za Kukataa Kununua....

‎Na Kama Huzizimi Mapema, Utauza Ndoto Zako Tu! ‎ ‎Wewe ni muuzaji, MJASIRIAMALI au mfanyabiashara? ‎Huu ndio mfumo wa kukusaidia kuwauzia hata wateja wagumu kuliko wote. ‎ ‎Kumbuka, kazi yako si kuuza tu ni kuzima visingizio kabla havijaota meno. ‎Unahangaika na wateja. ‎Unawashawishi kwa nguvu. ‎Wanakuambia, "Ngoja nifikirie." ‎Au, "Nitaludi baadaye." ‎Na hakuna kinacholudi. ‎ ‎Tatizo si bei yako. ‎Tatizo si bidhaa yako. ‎Tatizo ni pingamizi ambazo hukuzizima mapema. ‎ ‎"Sina pesa sasa hivi." ‎ ‎"Nimewahi kununua kitu kama hiki, hakikufanya kazi." ‎ ‎"Nitamuuliza mke/mume wangu kwanza." ‎ ‎"Ngoja nifikirie kwanza." ‎ ‎"Si muda mzuri kwangu kwa sasa." ‎ ‎ ‎Hizo ni objections tano kuu. ‎Na kila objection ni bomba la kuzuia hela zako zishuke mfukoni. ‎ ‎Ukikaa kimya, imekula kwako. ‎Ukijitetea vibaya, wanakosa imani. ‎Ukizizima mapema... unashinda mapema. ‎ ‎Wauzaji wa kawaida hukimbia objections. ‎Wauzaji waliobobea ...