Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya FaidazaKusomaVitabu MaendeleoBinafsiUsiku TabiazaWenyeMafanikio Kukuakiakili AtharizaKutumiaSimuUsiku UsikunaMaendeleoYako KitabuKablaYaKulala TabiaNzurizaKilaUsiku

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Kwa Nini Kusoma Kitabu Kabla Ya Kulala Ni Bora Kuliko Kutumia Simu. ‎

‎Siri Ya Wenye Mafanikio Usiku. Rafiki Yangu... ‎ ‎Alikuwa na ndoto kubwa. ‎Alitaka kuwa tajiri. ‎Alitaka kuishi maisha ya uhuru, kutembea duniani, na kusaidia familia yake. ‎Kila siku alijisemea: "Nitafanikiwa!" ‎ ‎Lakini kila usiku… ‎Badala ya kuchukua kitabu, ‎Aliishika simu. ‎Akasema, "Niangalie tu dakika tano." ‎Dakika tano zikawa saa tatu. ‎ ‎Miaka miwili baadaye… ‎Ndoto zimekufa. ‎Sauti ya matumaini imekufa. ‎Yuko pale pale. ‎ ‎Kwa sababu usiku uleule aliotakiwa kujijenga… ‎Aliamua kujiburudisha. ‎ ‎Katika makala hii, ‎Utagundua kwa nini kusoma kitabu kabla ya kulala. ‎Ni siri ambayo matajiri, viongozi, na watu wenye mafanikio wanaitumia kimyakimya kila siku usiku. ‎ ‎Na kwanini simu yako… ‎Ni mtego wa kisasa unaokuibia uwezo, muda na maisha. ‎ ‎Hebu tafakari… ‎Usiku wa utulivu. ‎Unalala ukiwa umetulia, ‎Ukijaa maarifa mapya. ‎ ‎Unaamka na mawazo mapya. ‎Unajua nini cha kufanya. ‎Unajua kwa nini ufanye. ‎Unajua hata namna ya kushinda changamoto zako. ‎ ‎Unaku...