Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Copywriting ya Mauzo: Bei Kubwa Bila Kumtisha Mteja

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎ Jinsi Ya Kumwambia Mteja Bei Kubwa Bila Kumtisha, Kumkera au Kumkimbiza

  ‎🧠 “Kaka, Usiwahi Kumwambia Mteja Bei Moja kwa Moja Kama Unaogopa Kuku!” ‎ ‎Unataka kuuza, siyo kuomba msamaha. ‎ ‎Lakini mara nyingi, unapoangalia uso wa mteja… ‎Unamwambia bei yako, alafu uso wake unabadilika kama vile umetaja jina la ex wake. ‎ ‎👉🏽 Halafu anasema: ‎ ‎“Hiyo ni bei ya mwisho?” ‎“Aaah… si unishushe kidogo?” ‎“Kwa hiyo ni hii tu elfu 80?” ‎“Kwa nini ni ghali hivyo?” ‎ ‎ ‎Na hapo ndipo moyo wako unadondoka miguuni. ‎Unaanza kujitetea. ‎Unapunguza bei. ‎Unaua biashara yako mwenyewe. ‎ ‎Lakini usijali. Leo naenda kukupa SUMU YA KIUMBE HAI... Anchoring. ‎ ‎Ukweli ni kwamba sio Bei.. ‎ ‎💥 Tatizo Sio Bei Yako – Tatizo ni Jinsi Unavyoiwasilisha  ‎ ‎Kuna namna tatu za kuua mauzo: ‎ ‎1. Kumpa mteja bei ghafla kama kombora. ‎ ‎ ‎2. Kumpa bei bila sababu yoyote. ‎ ‎ ‎3. Kumpa bei huku unatetemeka. ‎ ‎ ‎Wateja hawachukii bei. ‎Wanachukia BEI ISIYOELEWEKA. ‎ ‎👉🏽 Ukimpiga na bei ya 150K bila maandalizi, ‎Anaona kama unamchuna. ‎Lakini ukiweka msingi, bei hiyo hiyo in...