Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Copywriting ya Kiswahili Simulizi za MauzoUandishi wa KuuzaHadithi ZinazouzaMbinu za MauzoLugha ya HisiaUandishi wa MatangazoJinsi ya Kuuza BidhaaMauzo MtandaoniRamadhan Amir Copywriting

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Nguvu Ya Simulizi Katika COPYWRITING, Hadithi Zinazouza.... ‎

Picha
  ‎Kakaa/Dadaa Yangu... ‎ ‎Watu wengi wanahangaika kuuza, lakini hawauzi. ‎Wanabuni ofa, wanapanga bei, wanatengeneza matangazo... ‎Lakini hakuna anayegusa pochi ya mteja. ‎ ‎Kwa nini? ‎ ‎Kwa sababu wanatumia lugha ya kuuza bidhaa, ‎Badala ya lugha ya kugusa moyo. ‎Hawajui kutumia simulizi silaha kubwa kabisa kwenye uandishi wa kuuza (copywriting). ‎ ‎Unakumbuka mara ya mwisho ulisoma hadithi fupi ikakufanya ucheke, ushtuke, au hata utoke na machozi? ‎ ‎Hadithi hiyo ilikufanya uendelee kusoma hadi mwisho, si ndiyo? ‎ ‎Sasa jiulize, kwa nini uliendelea kusoma? ‎ ‎Kwa sababu ilikugusa. ‎Ilikuelewa. ‎Iliishi maisha yako. ‎ ‎Hapo ndipo nguvu ya simulizi ilipo. ‎Simulizi nzuri inakufanya uhisi, utafakari, halafu uchukue hatua. ‎ ‎Na hatua hiyo, mara nyingi, ni kununua. ‎ ‎Simulizi siyo porojo. ‎Siyo hadithi za kufurahisha tu. ‎ ‎Ni mbinu ya kuwasiliana kwa kina. ‎Ni njia ya kufundisha bila kuhubiri. ‎Ni daraja kati ya hisia za mteja na bidhaa unayouza. ‎ ‎Simulizi inayouza haileti lengo...