Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya kurasa 10 za kwanza

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Kurasa 10 Tu… Ndipo Nilipotaka Kukitupa Kitabu Dirishani....

Kuna Kipindi..... ‎ ‎Nilijua kabisa kuwa watu waliofanikiwa wanasoma vitabu. ‎ ‎Nikajipa changamoto: “Nitasoma kitabu kimoja kila mwezi.” ‎ ‎Nikaanza na motisha kali, nikakaa vizuri, nikaweka daftari la dondoo. ‎ ‎Lakini… kilichotokea kiliniumiza moyo. ‎ ‎Kurasa kumi za mwanzo nilisoma kwa kasi ya roketi. ‎ ‎Ilikuwa kama ndoa ya mapema yote ni furaha na matumaini. ‎ ‎Lakini ghafla… nikaanza kuchoka. ‎ ‎Nilikuwa nimesoma lakini sikumbuki nilichosoma. ‎ ‎Nikaanza kuchek WhatsApp katikati ya kurasa. ‎ ‎Halafu nikasema: “Labda kitabu chenyewe hakivutii.” ‎ ‎Nikaanza kulaumu kila kitu: ‎đŸ“Œ Lugha ni ngumu ‎đŸ“Œ Mistari ni mingi ‎đŸ“Œ Sina muda ‎đŸ“Œ Mbona ni boring? ‎ ‎Nikahifadhi kitabu kwenye droo. ‎ ‎Na changamoto yangu ya mwezi? Ilikufa siku ya pili. ‎ ‎Nikamkuta kijana mmoja kwenye YouTube, anasema: ‎ ‎"Tatizo si wewe. Tatizo ni mfumo wa kusoma uliorithishwa. ‎ ‎Vitabu vinahitaji mbinu, si nguvu za mabega." ‎ ...