Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya 1. Copywriting 2. Maneno Yanayouza 3. Sanaa ya Uandishi 4. Mauzo Mtandaoni 5. Mbinu za Kuuza 6. Biashara ya Mtandao 7. Mafanikio ya Biashara 8. Psychology ya Mauzo

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎COPYWRITING: Sanaa Ya Kuandika Maneno Yanayouza.

  ‎  Ndiyo Leo. ‎ ‎Kakaa/Dadaa... ‎ ‎Kuna biashara kibao zinafungwa. ‎ ‎Maduka yamejaa bidhaa. ‎ ‎Lakini wanunuzi hakuna. ‎ ‎Wako tu online wakiskrol skrini hadi macho yaume. ‎ ‎Unashangaa mbona hawaombi bei? ‎ ‎Mbona hawaulizi details? ‎ ‎Mbona hawaingii DM? ‎ ‎Tatizo si bidhaa zako. ‎ ‎Tatizo si bei yako. ‎ ‎Tatizo ni maneno yako. ‎ ‎Maneno yako hayaendi na mwendo wa wateja wa sasa. ‎ ‎Hayagusi. Hayachomi. Hayatishi. Hayavutii. ‎ ‎Unahitaji Copywriting. ‎ ‎Maneno yanayouza. ‎ ‎Maneno yanayopenya hadi kwenye roho ya mteja. ‎ ‎Sasa ngoja nikuambie ukweli mchungu... ‎Kama bado unaandika post za “karibu sana” ‎ ‎Au *nauza viatu vizuri bei nafuu* ‎ ‎Wewe ni kama mtu anayeimba kwenye jumba tupu. ‎ ‎Utaimba hadi koo likauke… lakini hakuna anayesikia. ‎ ‎Wenzako wanapost mara moja, wanapata order 30. ‎ ‎Wewe unashusha bei hadi unauza kwa hasara. ‎ ‎Na bado kimya. ‎ ‎Bado hakuna anayebonyeza link yako. ‎ ‎Hata likes hazifiki kumi. ‎...