Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kusoma kwa ufanisi Maarifa ya maisha Kuandika na kushirikisha maarifaMbinu za kujifunza Ramadhan Amir Elimu ya mafanikio Ushauri wa maisha Kumbukumbu ya kudumu MotivationJinsi ya kutumia maarifa

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Mbinu Rahisi Za Kusoma, Kuandika Na Kushirikisha Maarifa Uliyojifunza....

Picha
 ‎ ‎ ‎Kakaa/Dadaa Yangu. ‎ ‎Watu kibao wanasoma vitabu, wanaangalia video kali za maarifa, wanahudhuria semina kali… ‎ ‎Lakini baada ya siku tatu tu, hakuna kitu wamekumbuka. ‎ ‎Maarifa yote yamepotea kama upepo. ‎ ‎Halafu wakikutana na mtu anayetaka kusaidiwa, wanajikuta wamekauka kama jangwa. ‎ ‎Wewe pia umewahi kujiskia hivo? Kama unaelewa hiyo hali… hii makala ni yako. ‎ ‎ ‎Unasoma hadi macho yanachoka. ‎Unanunua vitabu, unaandika notes, unawasha YouTube hadi bundle zinaisha. ‎ ‎Lakini ukiwaulizwa ulichojifunza… kimya! ‎Unaanza kurukwa na kujiuliza, “Iko faida gani kusoma kama siwezi kutumia haya maarifa?” ‎ ‎Unajikuta unaacha kabisa.  ‎Unakata tamaa. ‎Unaanza kuamini kwamba, “Labda mimi sio wa kusoma.  ‎ ‎Hii mambo ya maarifa sio yangu.” ‎ ‎ ‎Lakini ukweli ni huu: ‎ ‎Tatizo sio wewe. ‎ ‎Tatizo ni mfumo wa kusoma. ‎ ‎Watu wengi wanasoma kama wanapiga mswaki haraka haraka tu. ‎ ‎Hawakumbuki, hawajaandika, hawajashirikisha. ‎ ‎Unasoma tu, alafu unaiweka kando. ‎ ‎ Unata...