Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Rich Dad Poor Dad

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Rich Dad vs Poor Dad: Je, Baba Maskini Anaweza Kukufundisha Siri za Utajiri? ‎

Picha
  ‎ ‎Rafiki Yangu.... ‎ ‎Nilivyokuwa mdogo, nilijua pesa huja kwa bidii. ‎Lazima uamke mapema, ufanye kazi kwa juhudi, utii maagizo ya bosi wako, na usikose kazini hata siku moja. ‎ ‎Niliona wazazi wangu wakitoka alfajiri, wakirudi jioni wakiwa wamechoka, lakini wakiwa maskini vilevile. ‎Nikajua labda maisha ndivyo yalivyo. ‎Mpaka nilipokutana na Rich Dad Poor Dad. ‎ ‎Ndiyo siku maisha yangu yalibadilika. ‎ ‎Katika makala hii, nitakuonyesha: ‎ ‎Jinsi kitabu cha Rich Dad Poor Dad kinavyochambua siri za pesa. ‎ ‎Ni kwa nini watu wengi wanapambana maisha yao yote lakini hawajawahi kujua *kanuni ya utajiri.* ‎ ‎Na kwa nini kusoma kitabu hiki ni hatua ya kwanza kuelekea uhuru wa kifedha. ‎ ‎Fikiria maisha bila presha ya bili kila mwisho wa mwezi. ‎Fikiria kuwa na uhuru wa kuchagua unachotaka kufanya si kwa sababu ya mshahara, bali kwa sababu unapenda. ‎ ‎Kuwa na biashara zako, uwekezaji unaoleta pesa hata ukiwa umelala. ‎Kuwa na muda na familia yako, kwenda likizo unapotaka, si unapopew...