Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jifunze Copywriting Ili Uongeze Thamani ya Bidhaa Zako Machoni pa Wateja — Hata Kama Umeishia Darasa la 7

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Jinsi Ya Kufanya Kile Unachouza Kiwe Na Thamani Kubwa Machoni Pa Wateja Kwa Kutumia Ujuzi Huu Adimu Hata Kama Umeishia Darasa La 7

Rafiki Yangu, Kila siku unapost, unatuma matangazo, unashare maelezo mazuri kuhusu bidhaa zako… Lakini hakuna anayejibu. Wengine wana bidhaa duni kuliko zako, lakini wanauza kama moto wa kifuu. Wewe bado uko hapo, ukijiuliza: “Mbona watu hawaelewi thamani ya kitu changu?” Ni maumivu makubwa kuona mtu anapita na kuuza bidhaa ileile, lakini kwa sababu tu ameandika kwa maneno sahihi, anapata wateja, anapata fedha, na anapewa sifa, wakati wewe unajua wewe ndiye mwenye bidhaa bora. Ni kama dunia imepinduka. Unaleta ubora, lakini hauonekani. Kwa sababu hujui kuweka ubora huo kwenye maneno yanayouza. Na si kwamba hujajitahidi. Ulishaangalia matangazo ya wengine, ukaiga, ukaweka emoji, ukaandika nukuu... Lakini bado. Kwa sababu copywriting si kuandika tu — ni saikolojia ya maneno inayoendesha maamuzi ya kununua. Ujuzi wa copywriting ndio unaotenganisha wauzaji wa kawaida na wauzaji wanaouza bila kuomba. Ni ujuzi unaokufanya maneno yako yawe mashine ya mauzo. Maneno yanayogusa moyo, kichwa, na ...