Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya mafanikio kwa vijana

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

🔥 Ukipitwa Na Vitabu Hivi 5 Kabla Ya Miaka 30

🔥 Ukipitwa Na Vitabu Hivi 5 Kabla Ya Miaka 30, Maisha Yatakunyoosha Sana. Kakaa/ Dadaa Yangu , Kuna ukweli mchungu, lakini nitakuambia tu: Kama hujasoma vitabu sahihi mapema, maisha yatakusoma wewe. Wengi wanateseka si kwa sababu hawana akili. Wanateseka kwa sababu hawana maarifa. Hawajui wapi pa kuanzia. Wamebanwa na madeni. Wana mahusiano yanayowaumiza. Wanadanganywa kirahisi. Na yote hii? Inatibika kwa kujifunza kitu kimoja: KUJIELEWA. Na njia rahisi ya kujielewa? Ni kusoma vitabu ambavyo vinafungua macho kabla ya miaka 30. Sababu? Miaka 30 ni kama mlango – ukivuka bila maandalizi, Unazama. Sasa fikiria... Miaka 35 umefika, Huna kazi ya kueleweka. Umeoa/umeolewa vibaya. Rafiki zako wote wanaendelea, wewe unarudi nyuma. Unaanza kusema, “Dunia haina haki.” Lakini tatizo si dunia... Tatizo ni ulipoteza muda mwingi bila kujitengeneza mapema. Ulisema vitabu ni vya wasomi. Ulisema huna muda. Ulisema hutaki kusoma, unataka hela. Sasa uko wapi? Umelogwa na uvivu wa maarifa. Wengi hufikiri ...