Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya #KitabuChaMafanikio#NguvuYaBuku #BiasharaKutokaBuku#ElimuYaFedha #RamadhanAmir#Motisha#Ujasiriamali #JifunzeUfanikiwe#MaishaMapya#SiriZaMafanikio#UsikateTamaa#KupambanaNaUmasikini

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Kuna Maelfu Ya Vitabu… Lakini Hiki Ndicho Kimenibadilisha Zaidi!...

  ‎ Weh! ‎ ‎Kakaa/Dadaa... ‎ ‎Sina hata haja ya kuzunguka sana. ‎ ‎Kuna vitu unaweza kuvipitia kwenye maisha mpaka ukahisi kama unatembea juu ya miiba. ‎ ‎Unaamka kila siku asubuhi, unaenda kutafuta... lakini maisha hayabadiliki. ‎ ‎Unapiga kazi sana kama punda, lakini mkononi  huna hata senti 5. ‎ ‎Mpaka unajiuliza, “Hivi kweli kuna njia ya kutoka hapa nilipo?” ‎ ‎Na mimi nilikuwa hivyo. ‎ ‎Kichwa kimejaa mawazo. ‎Moyo umejaa hofu. ‎ ‎Pesa ni ndoto. ‎Na kila mtu anakushauri kusoma vitabu, eti vitakubadilisha. ‎ ‎Lakini ukiingia kwenye mtaa wa vitabu utakutana na maelfu ya vitabu. ‎Na kila kimoja kinajifanya kiko na suluhisho ya changamoto zako. ‎ ‎Ila unajua nini? ‎ ‎Vingi ni kama soda isiyo na gas. ‎Vina maneno mengi... ila havikusaidii chochote. ‎ ‎Ni kama kupewa ramani ya dunia nzima ukiwa umepotea mtaa wa pili. ‎ ‎Lakini hiki kitabu... ‎ ‎We acha tu niseme ukweli, ‎Hiki kitabu kilinitoa shimoni. ‎ ‎Ha...