Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jinsi ya Kuuza Mitandaoni

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Copywriting Ni Silaha Ya Siri Ya Wafanyabiashara Matajiri Wewe Unaijua?

Rafiki Yangu, ‎ ‎Umeshawahi kujiuliza kwanini bidhaa ya mtu mwingine inanunuliwa sana, ilhali yako haivutii hata mbu? ‎ ‎Wateja wanapita tu. Wanakudharau. ‎ ‎Lakini yule jamaa wa duka la pembeni, kila siku anaweka “sold out” kwenye bango. ‎ ‎Unadhani ni bahati? ‎Hapana ndugu yangu! ‎Anaijua sanaa moja ya kichawi… Copywriting! ‎ ‎Leo nitakuonyesha: ‎ ‎Copywriting ni nini, inavyofanya kazi kimyakimya kwenye akili za watu, na kwanini wewe kama mfanyabiashara, unahitaji kuimasta kabla biashara yako haijafa bila msiba. ‎ ‎3. PICTURE — (Fumba Macho, Tazama Maisha Yako Baada Ya Ujuzi Huu) ‎ ‎Hebu tafakari... ‎Unapost tu chapisho moja WhatsApp au Instagram… ‎Dakika tano tu, simu yako inaanza kulia. ‎Mpaka unachoka kupokea order. ‎Wateja wanakuomba kuwahudumia, siyo wewe kuwabembeleza! ‎ ‎Hii si hadithi ya kufikirika. Ni hali halisi ya wale waliobobea kwenye Copywriting. ‎ ‎Mwaka 2022, kuna kijana mmoja aliandika maneno 12 tu kwenye status ya WhatsApp… ‎Aliuza vitabu 267 ndani ya siku 1. ‎Hakuw...