Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jinsi ya Kujenga Maisha na Kuanzisha Biashara Bila Mtaji Kupitia Vitabu

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

Picha
  ‎Mpendwa Rafiki, ‎ ‎Tatizo ni moja tu: Unataka kufanikiwa. ‎ ‎ Unataka kujenga biashara.  ‎ ‎Unataka kuvutia wateja bila kuwa kero. ‎ ‎ Unataka maisha bora, lakini hujui uanzie wapi. ‎ ‎Unasikia watu wanatoka mbali kimaisha kwa kutumia maarifa, lakini wewe kila ukijaribu hakuna kinachotiki. ‎ ‎Na najua kabisa… si kwamba huna akili. ‎ ‎ Si kwamba huna bidii. La hasha! ‎ ‎Tatizo ni moja: haujapewa ramani. ‎ ‎ Haujapewa mfumo.  ‎ ‎Haujajifunza maarifa sahihi. ‎ ‎Kuna jambo linakuumiza kimya kimya… ‎ ‎Watu unaowaona wanaendelea wengi wao sio wa ajabu sana. ‎ ‎Wana siri moja tu: maarifa ya ndani. ‎ ‎Maarifa ya vitabuni.  ‎ ‎Maarifa ambayo hayafundishwi mashuleni. ‎ ‎Wanaelewa “mbinu za kuuza”, wanaijua “copywriting”, wanaelewa “psychology ya mteja”, ‎ ‎...na wanajua jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji mkubwa. ‎ ‎Wewe pia unaweza kujifunza. ‎ ‎Wewe pia unaweza kugeuza akili yako kuwa hela. ‎ ‎Lakini lazima ukubali ukweli mmoja: ‎ mafanikio hayaji kwa kubahatisha. ‎ ‎ ...