Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya vitabu na pesa

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Hivi Umeshawahi Kukuta Mtu Anasoma Kitabu Alafu Anakula Pesa? 😳

  ‎Rafiki Yangu, ‎ ‎Watu wengi wanasoma vitabu. ‎ ‎Wanaandika mistari. ‎Wanaweka nukuu kwenye status. ‎Wanafanya kama wameelewa. ‎ ‎Lakini bado broke. 😥 ‎Bado wanahangaika. ‎Bado hawajui hela inaingiaje. ‎ ‎Kwa nini? ‎ ‎Kwa sababu hawajui kusoma kwa akili ya biashara. ‎Hawajui kuchuja hela kwenye kurasa. ‎Hawajui kugeuza maarifa kuwa mpunga. ‎ ‎Wanasoma kwa ajili ya kufurahia tu. ‎Sio kutengeneza thamani. ‎Sio kutatua matatizo ya watu. ‎ ‎Na ndio maana unaona: ‎ ‎Wamesoma sana... ‎Lakini bado wanaomba airtime. ‎Wanaomba lift ya kwenda kazini. ‎Wanapiga status za “Siku moja nitafanikiwa.” 😩 ‎ ‎Wamesoma vitabu vya Robert Kiyosaki, ‎Lakini mpaka leo hawajui difference ya asset na liability kwa vitendo. ‎Wamepitia Think and Grow Rich, ‎Lakini bado wanathink tu — hawagrow wala hawarichi! ‎ ‎Kibaya zaidi? ‎Wanasema: “Mimi ni msomi…” ‎Lakini hela yao ni ya kushika wiki mbili tu. ‎ ‎Kusoma vitabu ni kama kuchimba kisima. ‎ ‎Lakini kama huna ndoo ya kuchotea, ‎Kuna faida gani? ‎Unabaki na...