Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MafanikioVitabu Matajiri Siri ya Utajiri Elimu ya Fedha Tabia za Matajiri Kusoma Maarifa Kitabu Kimoja Uhamasishaji

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Kwa Nini Matajiri Wote Husoma Vitabu – Siri Kubwa Unayopaswa Kujua Leo

 ‎Na Wewe Bado Unapiga Chenga Kusoma? Rafiki Yangu Mpendwa, Bado Namkumbuka.... ‎ ‎Aliwahi kuwa maskini. Alilala njaa. Alitembea kwa miguu kwenda shule. Alivaa viatu vilivyopasuka. ‎ ‎Leo? Ana kampuni tano. Ana magari manne. Anajenga shule kijijini kwao. ‎ ‎Unajua alibadilishaje maisha yake? ‎ ‎Alianza kusoma vitabu. ‎ ‎Leo nitakuonyesha siri moja kubwa sana ambayo matajiri hawapendi watu wa kawaida waijue. ‎ ‎Siri hii ni: Vitabu! ‎ ‎Ndiyo. Nitakuambia kwanini matajiri wote hukimbilia vitabu, na kwanini wewe pia unapaswa kuanza kusoma leo hii sio kesho. ‎ ‎Fikiria ukiamka asubuhi na hujishughulishi tena na madeni. ‎ ‎Fikiria unafanya kazi unayoipenda… sio ile ya kukudhalilisha. ‎ ‎Fikiria unaweza kusafiri popote, lini unavyotaka. ‎ ‎Fikiria unasaidia familia yako… unalipa karo… unajenga nyumba. ‎ ‎Vitabu ni daraja la kutoka hapa ulipo hadi kule unakotamani kufika. ‎ ‎📚 Elon Musk alisema, “Nilijifunza kutengeneza roketi kwa kusoma vitabu.” ‎ ‎📚 Bill Gates husoma kitabu kimoja kila...