Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya siri za utajiri

Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

🔥 Alikuwa Maskini Lakini Leo Ana Milioni... Siri Ni Vitabu 10 Tu! 🔥 ‎

Picha
Wakati rafiki zake walikuwa wakitafuta njia za mkato kupata hela, ‎Yona alikuwa na swali moja tu kichwani: ‎ ‎ "Mbona mimi nafanya kazi sana, lakini bado siwezi kuvuka elfu hamsini?" ‎ ‎ ‎Alikuwa na familia ya kuiangalia. ‎Madeni kibao. ‎Ndoto kubwa, lakini mfuko mdogo. ‎ ‎Siku moja, kwenye soko la mitumba, akakuta kijitabu kidogo kimechakaa. Kimeandikwa: ‎“Think and Grow Rich – Fikiri Upate Utajiri” ‎Alikinunua kwa Tshs 25,000 tu, akakisoma kila usiku akiwa kwenye kibanda chake cha bati. ‎ ‎Kila ukurasa ulimfungua macho. Aligundua: ‎ ‎Siri za kuwashawishi wateja bila kuonekana kero ‎ ‎Njia rahisi ya kugeuza talanta kuwa chanzo cha pesa, ‎ ‎Mbinu ya kuanzisha biashara bila hata shilingi! ‎ ‎Akasoma kingine… ‎Na kingine… ‎Mpaka akajenga tabia mpya ya kusoma kitabu kimoja kila wiki. ‎ ‎Aliamua kufanya utafiti na akagundua kuna vitabu 10 ambavyo vilibadilisha maisha ya matajiri wengi duniani, na sasa vinambadilisha yeye pia: ‎ ‎📚 Vitabu 10 Vilivyomtoa Yona Kwenye Umaskini: ‎ ‎1...

Rich Dad vs Poor Dad: Je, Baba Maskini Anaweza Kukufundisha Siri za Utajiri? ‎

Picha
  ‎ ‎Rafiki Yangu.... ‎ ‎Nilivyokuwa mdogo, nilijua pesa huja kwa bidii. ‎Lazima uamke mapema, ufanye kazi kwa juhudi, utii maagizo ya bosi wako, na usikose kazini hata siku moja. ‎ ‎Niliona wazazi wangu wakitoka alfajiri, wakirudi jioni wakiwa wamechoka, lakini wakiwa maskini vilevile. ‎Nikajua labda maisha ndivyo yalivyo. ‎Mpaka nilipokutana na Rich Dad Poor Dad. ‎ ‎Ndiyo siku maisha yangu yalibadilika. ‎ ‎Katika makala hii, nitakuonyesha: ‎ ‎Jinsi kitabu cha Rich Dad Poor Dad kinavyochambua siri za pesa. ‎ ‎Ni kwa nini watu wengi wanapambana maisha yao yote lakini hawajawahi kujua *kanuni ya utajiri.* ‎ ‎Na kwa nini kusoma kitabu hiki ni hatua ya kwanza kuelekea uhuru wa kifedha. ‎ ‎Fikiria maisha bila presha ya bili kila mwisho wa mwezi. ‎Fikiria kuwa na uhuru wa kuchagua unachotaka kufanya si kwa sababu ya mshahara, bali kwa sababu unapenda. ‎ ‎Kuwa na biashara zako, uwekezaji unaoleta pesa hata ukiwa umelala. ‎Kuwa na muda na familia yako, kwenda likizo unapotaka, si unapopew...