Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Kwa Nini Wateja Wako Wanaonyesha Nia Lakini Hawanunui? (Na Siri ya NDOANO YA KISASA Inavyowageuza Kuwa Wanunuzi Haraka)

Rafiki Yangu,

‎Kulikuwa na mfanyabiashara mmoja, jina lake Halima.

‎Alikuwa na bidhaa nzuri mno, kila mtu aliyekuja dukani kwake alisifia.

‎Lakini tatizo moja kubwa lilikuwa linamtafuna usiku na mchana:

‎👉 Wateja wengi walionyesha nia… walipiga maswali mengi… walionekana wamekaribia kununua…

‎Lakini mwisho wa siku, waliondoka bila kufanya maamuzi.

‎Halima alihisi kama anapanda mbegu nzuri kwenye ardhi yenye rutuba… lakini mazao hayatokei.

‎Alijiuliza: “Hivi shida ipo kwao au ipo kwangu?”

‎Siku moja, Halima alipata rafiki aliyemwambia:

‎“Hii sio juu ya bidhaa yako pekee. Ni juu ya ndoano unazotumia kuwashawishi.”

‎Alimshauri achukue kitabu kipya kinachoitwa:

‎📘 NDOANO YA KISASA – Sanaa ya kuwageuza wale wanaoonyesha nia kuwa wanunuzi wa kudumu.

‎Halima hakuamini mara moja. Alifikiri, “Vitabu tena? Mimi nahitaji wateja sasa hivi!”

‎Lakini moyo wake ulisema: “Jaribu, hakuna cha kupoteza.”

‎Akiwa na wasiwasi, alianza kusoma ukurasa baada ya ukurasa.

‎Kila ukurasa ulikuwa kama darasa jipya.

‎Alijifunza:

‎Kwa nini wateja huonyesha nia lakini hukimbia.

‎Siri za kuondoa vikwazo vya kisaikolojia vya mteja.

‎Jinsi ya kutumia ndoano za maneno na hadithi ili wateja waseme “Ndiyo” mara moja.

‎Lakini haikuwa rahisi. Alijaribu mara ya kwanza akashindwa.

‎Alijaribu tena  na mteja mmoja alirudi.

‎Alijaribu tena na wateja wawili wakafanya manunuzi.

‎Ndipo alipojua siri hii:

‎👉 *Nia ya mteja bila ndoano ni ndoto tu*

‎Leo, Halima amegeuka kuwa mfano wa mafanikio.

‎Wale wateja waliokuwa wakisitasita sasa wananunua kwa ujasiri.

‎Wengine hata wanawashawishi marafiki zao kuja.

‎Na kila anapofunga mauzo, anajisemea:

‎“Shukrani kwa NDOANO YA KISASA. 

‎Bila kitabu hiki, ningeendelea kuwatazama wateja wakiingia na kutoka mikono mitupu.”

‎Na wewe unawajua vizuri sana wateja hawa:

‎👉 Wanapiga simu, wanauliza bei, wanavutiwa… lakini mwisho wa siku wanapotea.

‎Sasa unayo nafasi ya kubadilisha hilo.

‎📘 NDOANO YA KISASA itakufundisha mbinu za kuwavuta wateja hadi kufunga mauzo.

‎Usiache nia ibaki hewani.

‎👉 Geuza kila “Ninafikiria” kuwa “Ninachukua sasa hivi.”

‎🔥 Kitabu kipo tayari mikononi mwako leo.

‎Je, utaruhusu wateja wako waendelee kusitasita… au utawavuta na ndoano za kisasa?

‎Anyway, Kama Bado Hujakipata Piga Simu 0756694090.

‎Karibu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection