Safari Ya Amina Aliyegundua Siri Ya Kuvutia Bila Gharama...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Mvuto Bila Bajeti.
Amina alikuwa mfanyabiashara wa mitandaoni.
Aliuza vikombe vya kisasa, mikeka ya kiswahili, na mapambo madogo.
Alikuwa na bidhaa nzuri, bei nafuu, na moyo wa kufanya kazi kwa bidii.
Lakini kulikuwa na tatizo moja kubwa: hakuvutia wateja.
Aliweka picha nyingi, alitumia emoji, hata alilipia matangazo mara mbili lakini bado kimya.
Alihangaika hadi akaamini:
"Labda sina mvuto.
Labda watu wanaowavutia wengine wana kitu cha kipekee ambacho mimi sina."
Siku moja, akiwa Instagram, aliona post iliyoandikwa:
“Unaweza kutengeneza mvuto wa biashara bila kutumia hela nyingi. Jiunge na group la mafunzo ya bure. Wasiliana 0750376891.”
Maneno hayo yalimgusa kama umeme.
Akajisemea:
"Hivi kweli naweza kuwa na mvuto bila bajeti kubwa?"
Lakini kama kawaida, sauti ya hofu ikaanza:
"Hivi si utapoteza muda tena kama ulivyofanya kwenye video za YouTube?"
Aliyumba. Aliwaza sana.
Lakini roho ilimshika mkono:
"Fursa ya kubadilika haiji kila siku."
Akamua kuwasiliana. Aliwasiliana na namba 0750376891.
Akaongea na mtu mwenye sauti ya matumaini.
Akajiunga kwenye Group La WhatsApp.
Post ya kwanza aliyopokea ikasema:
*Mvuto si picha, si fedha ni hisia unazoweka kwenye mawasiliano yako*
Siku hiyo, macho yake yalifunguka.
Amina alianza kusoma kila somo.
Siku ya tatu alijifunza:
“Badala ya kuonyesha bidhaa, elezea hadithi ya jinsi bidhaa hiyo inavyobadilisha maisha.”
Akaandika post mpya:
*Kila kikombe nilichokileta hapa kina hadithi ya chai ya mama aliyewapokea wageni kwa heshima isiyoelezeka…*
Saa mbili baadaye order 5!
Amina aliamua kufanyia kazi kila somo.
Lakini bado alihisi hofu siku nyingine wateja hawakuuliza chochote.
Alitaka kukata tamaa.
Lakini alikumbuka post nyingine ndani ya group:
*Mvuto haujengwi kwa siku moja ni utulivu wa ujumbe wako unaozaa heshima*
Akatulia. Akaendelea.
Wiki moja baadaye, aliambiwa atangaze bidhaa mpya ya mteja wake bila bajeti.
Akakumbuka fundisho la sauti:
*Watu hawavutiwi na bidhaa, wanavutwa na maneno yanayogusa roho zao.*
Akaandika tangazo la hisia. Akaweka kwenye status.
Saa 6 baadaye: order 12.
Mteja wake alilia kwa furaha. Amina akahisi, mvuto si hela, ni ujumbe sahihi.
Leo hii Amina anafuatwa na zaidi ya watu 20,000.
Hakuwahi kulipia hata tangazo moja baada ya mafunzo yale.
Anapendwa kwa jinsi anavyoandika, jinsi anavyoeleza, jinsi anavyogusa.
Wateja wake wanasema:
*Hata kabla hatujanunua, tunakuwa tayari tumekushukuru.*
Sasa Amina anasimama kila wiki katika live zake na kusema:
*Mvuto haujifichi kwa bahati. Unajengwa kwa maarifa. Maarifa haya nilijifunza bure, niliwasiliana na namba hii: 0750376891.*
Amina amekuwa na ushawishi mkubwa sana,
Si kwa sababu ana urembo wa kushangaza, bali ni kwa sababu ana lugha ya kugusa.
Na hiyo lugha alijifunza kwenye group la mafunzo ya bure.
Je, unataka kutengeneza mvuto kwenye biashara yako hata bila kutumia hela nyingi?
👉 Jiunge na mafunzo haya ya bure leo kwa kuwasiliana na namba hii:
📞 0750376891.
Utatumiwa somo moja kila siku lenye maarifa yanayogeuza biashara, lugha, na nafsi yako.
✨ SHARE Hadithi Hii
👉 Washirikishe wengine.
Waalike marafiki zako.
👉 Wasaidie wafungue macho kama wewe.
Mvuto hauzaliwi unajengwa.
Na wewe unaweza kuujenga.
Bila hela nyingi.
Bila kusubiri miaka.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Ramadhan Amir,
Mwandishi| MkufunziWaMauzoYenye MAFANIKIO| Kocha Wa Mafanikio Ya Mauzo.
0750376891
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni