Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Utata Wa ELON MUSK: Ana Mamilioni, Lakini Alianza na Kusoma Vitabu Tu?!

Kakaa/Dadaa Yangu... 

‎Watu wanataka pesa. Mafanikio. Kujulikana.

‎Lakini hawataki kusoma hata ukurasa mmoja.

‎Hawajui siri iko kwenye kurasa.

‎Wanauliza:

‎*Mbona mimi nastruggle, na sijafika popote?*

‎“Mbona Elon Musk kafika mbali hivyo?”

‎Sawa. Ngoja nikupee KISA!

‎Elon Musk sio tu tajiri.

‎Ni mjanja.

‎Ni balaa.

‎Ni jamaa ambaye alisoma hadi vitabu vilianza kumjua kwa jina!

‎Halafu leo wewe unaniambia,

‎“Hivi kweli kusoma kuna msaada?”

‎Heh! Tulia…

‎Unajua nini kinaumiza zaidi?

‎Watu wengi wanajua jina lake.

‎Lakini hawajui historia yake.

‎Hawajui alitumia miaka ya utoto wake kusoma vitabu vya science, fiction, na biographies.

‎Yes, jamaa alikula vitabu kama vitafunwa vya Asubuhi.

‎Siku moja, aliweza kumaliza kusoma kitabu kimoja kwa Siku.

‎Unaweza wewe?

‎Ama macho yako ni TikTok tu? 😅

‎Wacha nikupe ukweli mchungu:

‎Ukipuuza kusoma, usitegemee miujiza.

‎Huwezi kuwa billionaire kwa kutegemea motivation quotes.

‎Unahitaji knowledge ya ukweli.

‎Na Musk alijua hilo.

‎Akasoma vitabu vya:

‎Benjamin Franklin: An American Life

‎Structures: Or Why Things Don’t Fall Down

‎The Hitchhiker’s Guide to the Galaxy

‎Zero to One by Peter Thiel

‎Einstein: His Life and Universe

‎Na vingine vingi.

‎Hii si orodha ya show-off.

‎Hii ni blueprint ya mafanikio yake.

‎Sasa, Suluhisho ni nini?

‎Usianze kujichukia.

‎Anza kujisomea.

‎Anza na vitabu vyepesi.

‎Anza na kila unachopata.

‎Kama huwezi kusoma saa 1 kwa siku,

‎soma dakika 10.

‎Mara kwa mara.

‎Itakuchoma sasa,

‎lakini itakulipa baadaye.

‎Nikutupie hadithi moja kali.

‎Elon akiwa mdogo, alikuwa “nerd”.

‎Watoto wanamchukulia poa.

‎Anaonekana mwehu flani wa vitabu.

‎Lakini guess what?

‎Wakati wenzake wanaangaika kutafuta kazi,

‎yeye anaanzisha kampuni ya kutuma roketi angani.

‎Kitu kama SpaceX.

‎Unakumbuka ilivyoonekana kama wazo la kichaa?

‎Leo hii NASA inamfuata.

‎Trust me.

‎Unaweza kubadilisha future yako.

‎Lakini sio kwa bahati.

‎Ni kwa maarifa.

‎Soma.

‎Hata kama ni page 1 leo.

‎Siku moja, watu watashangaa:

‎“Huyu aliwezaje kufika hivi?”

‎Na utacheka kimoyo moyo:

‎“Nilianza na kusoma kitabu.”

‎Unataka mafanikio ya kweli?

‎Usiogope vitabu.

‎Vitabu ni siri ya Watawala.

‎Hii ndio Siri ya Elon Musk.

‎Na sasa ni yako pia.

‎Muhimu; Kama Bado Hujajiunga Na Wasomaji Wenzako Makini,

‎Basi Piga Au Tuma Ujumbe Kwenda 0750376891.

‎Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Mkufunzi Ramadhan Amir.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection