‎🔥Siri Za Hadithi Zinazouza Kama Kichaa , Mfumo Wa The Hero’s Journey!🔥 ‎

Kakaa/Dadaa Yangu.... Wewe unajua kwanini hadithi zingine zinaburudisha mpaka unashindwa kutoka kwenye screen? ‎ ‎Unajua kwa nini mtu anakusimulia story mpaka unajikuta unaitikia, *Duh! Alafu ikawaje?* ‎ ‎Basi sikia hii... ‎ ‎Wauzaji wengi wanaandika hadithi ambazo hazigusi hisia. ‎Ni kama kuangalia movie ya kuchosha kwenye slow motion. ‎Wateja hawajali. Wanaskip. Wanapotea. ‎ ‎Lakini... ‎Kuna mfumo mmoja wa KISANII, wakisanii mbaya, ambao ukishaujua, utawakamata watu kama sumaku. ‎ ‎Unaitwa: Hero’s Journey. ‎ ‎Ni mfumo wa hadithi ya shujaa. ‎Yaani mtu wa kawaida, anakutana na changamoto, anapambana, anakata tamaa, anasimama tena, na mwisho anashinda. ‎ ‎Kama Simba kwenye Lion King. ‎Kama Neo kwenye Matrix. ‎Kama wewe kwenye maisha yako. ‎ ‎Sasa tatizo ni hili... ‎Watu wanajaribu kuuza bila kuleta safari ya kihisia. ‎Wanataka kuuza bidhaa kama vile ni maharage sokoni. ‎Wanakosa story. ‎Na bila story,hakuna connection. ‎ ‎Unasema bidhaa yako ni bora? So what? ‎Wateja wanataka kujihisi w...

Rich Dad vs Poor Dad: Je, Baba Maskini Anaweza Kukufundisha Siri za Utajiri? ‎

 


‎Rafiki Yangu....

‎Nilivyokuwa mdogo, nilijua pesa huja kwa bidii.

‎Lazima uamke mapema, ufanye kazi kwa juhudi, utii maagizo ya bosi wako, na usikose kazini hata siku moja.

‎Niliona wazazi wangu wakitoka alfajiri, wakirudi jioni wakiwa wamechoka, lakini wakiwa maskini vilevile.

‎Nikajua labda maisha ndivyo yalivyo.

‎Mpaka nilipokutana na Rich Dad Poor Dad.

‎Ndiyo siku maisha yangu yalibadilika.

‎Katika makala hii, nitakuonyesha:

‎Jinsi kitabu cha Rich Dad Poor Dad kinavyochambua siri za pesa.

‎Ni kwa nini watu wengi wanapambana maisha yao yote lakini hawajawahi kujua *kanuni ya utajiri.*

‎Na kwa nini kusoma kitabu hiki ni hatua ya kwanza kuelekea uhuru wa kifedha.

‎Fikiria maisha bila presha ya bili kila mwisho wa mwezi.

‎Fikiria kuwa na uhuru wa kuchagua unachotaka kufanya si kwa sababu ya mshahara, bali kwa sababu unapenda.

‎Kuwa na biashara zako, uwekezaji unaoleta pesa hata ukiwa umelala.

‎Kuwa na muda na familia yako, kwenda likizo unapotaka, si unapopewa ruhusa.

‎Ndiyo maisha Rich Dad alifundisha.

‎Na unaweza kuyapata.

‎Robert Kiyosaki mwenyewe alikulia katika familia ya kawaida.

‎Aliona baba yake mzazi (Poor Dad) akifundisha, akijituma, lakini akibaki maskini.

‎Lakini alipopata mentor (Rich Dad), mwenye mtazamo tofauti kuhusu pesa ndipo akaanza kuelewa tofauti ya watu matajiri na watu maskini:

‎Si bidii ya kazi tu, bali ni aina ya elimu unayoipata kuhusu pesa.

‎Leo hii, mamilioni ya watu duniani wamesoma kitabu hiki, wamebadilisha fikra zao, na maisha yao pia yakabadilika.

‎Kitabu hiki kinakuonyesha mambo manne ya msingi:

‎1. Maskini hufanya kazi kwa pesa. Matajiri hufanya pesa iwafanyie kazi.

‎2. Maskini huamini elimu ya darasani tu. Matajiri huwekeza kwenye elimu ya kifedha.

‎3. Maskini hununua mali zinazowapotezea pesa. Matajiri hununua mali zinazowaingizia pesa.

‎4. Maskini huwa waoga kujaribu. Matajiri hujifunza kwa kufanya makosa.

‎Kitabu hiki hakikufundishi kupenda pesa, kinakufundisha kuielewa.

‎Kujua mtiririko wake.

‎Kujua njia zake.

‎Na jinsi ya kuitumia kukujengea uhuru.

‎Kama unaendelea kufanya kazi tu bila kuelewa pesa, utaitumikia maisha yako yote.

‎Kama hutabadili fikra zako kuhusu pesa, maisha hayatabadilika.

‎Lakini habari njema ni hii:

‎Unaweza kuanza leo.

‎Kwa kusoma kitabu cha Rich Dad Poor Dad.

‎Hiki si kitabu cha kawaida ni ramani ya kutoka kwenye mtego wa maisha ya mkopo, madeni, na mshahara wa mwezi.

‎Watu wanaofanikiwa si wa kipekee wana maarifa tofauti tu.

‎Usiishi maisha yote ukiwa umefungwa na fikra za *Baba Maskini.*

‎Wekeza kwenye akili yako leo.

‎Pata nakala yako ya Rich Dad Poor Dad.

‎Kwa kupiga simu Kwenda 0750376891.

‎Kisome. Kielewe. Kitumie.

‎Halafu kaa pembeni, uangalie jinsi maisha yako yanavyoanza kubadilika kidogo kidogo, hadi uwe huru kabisa.

‎Kosa si kuwa maskini kosa ni kubaki hivyo baada ya kupata maarifa.”

‎Na maarifa yako hapa mkononi.

‎Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Mkufunzi Ramadhan Amir.

‎0750376891.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection

Vitabu Gani Vilibadilisha Maisha Yangu?