Vitabu 3 Vilivyomtoa Huyu Kwenye Umaskini Kabisa Mpaka Kuwa Milionea
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Bro!
Yani kuna kipindi alikuwa hana hata buku ya vocha.
Hana biashara.
Hana network.
Hana tumaini.
Alikuwa anapambana na maisha bila silaha.
Mtaa unamjua kama yule jamaa wa "bado tu".
Lakini sasa hivi?
Anaeza kukodi ndege.
Na anadai, vitabu vitatu tu ndiyo vilimtoa huko alikokuwa.
Watu wengi wako hoi.
Kazi ni kutafuta hela.
Hela yenyewe haikai.
Kila siku ni mipango, lakini hakuna kinachotoka.
Na tatizo kubwa ni hili:
Hawajui wanachokosa ni maarifa.
Unasikia mtu anasema:
"Hela ipo, mimi sina tu connection."
Au
"Sisi huku hatujapangiwa kuwa matajiri."
Aisee, hiyo ni uongo.
Kama hujui kutengeneza hela.
Na hujui kuitunza.
Halafu bado unaidai dunia ikutendee haki?
Kuna mtu mmoja alisema:
"Ukiwa maskini na bado hujifunzi, unajitakia."
Inaumiza lakini ni ukweli.
Maisha hayaoni huruma.
Ni ya wale wanaojua.
Wanaojifunza.
Wanaojichukua serious.
Sasa wengine wanasoma vitabu vingi,
Lakini maisha yao ni yale yale.
Kwa nini?
Wanasoma bila kuelewa nini wanatafuta.
Vitabu vinakuwa burudani tu.
Sio silaha ya mapambano.
Ili uvuke, usome vitabu vya kubadilisha mindset, si hadithi za mapenzi.
Sasa huyu jamaa alichukua hatua.
Akanunua vitabu vitatu tu.
1. “Rich Dad Poor Dad” –Cha Robert Kiyosaki
Hiki kimemfundisha tofauti kati ya kutumia hela na kuitengeneza.
Asset vs Liability.
Hela ya rent siyo yako. Jenga chanzo cha mapato ya uhakika.
2. “The Richest Man in Babylon” – George Clason
Hiki kimemfundisha nidhamu ya pesa.
Kujiwekea asilimia 10 kila hela anayopata.
Na kuitumia kwa busara.
3. “Think and Grow Rich” – Napoleon Hill
Hiki kimemfundisha nguvu ya akili.
Kwamba unachokiamini, unaweza kukifikia.
Aliandika ndoto yake. Akaifanya mission. Na maisha yakageuka.
Bro alikuwa anauza chips mitaani.
Jioni anarudi nyumbani na 5,000.
Siku moja akaona duka la vitabu.
Akanunua "Rich Dad Poor Dad" — kwa bahati tu.
Akakaa kusoma usiku kucha.
Aliamka akiwa mtu tofauti kichwani.
Akaanza kuweka akiba.
Akaanza kuuza bidhaa online.
Akaanza kusoma kila siku.
Leo hii ana biashara tatu.
Ana maduka.
Ana wafanyakazi.
Ana familia inayomtegemea.
Na anasema:
"Kama si vile vitabu vitatu, bado ningekuwa naomba vocha."
Unaonaje?
Unaweza kubadilika kwa kusoma tu?
Ndio kabisa.
Ila usome vitabu sahihi.
Usome kwa nia sahihi.
Na uanze kutenda.
NB: Kuna watu hawana pesa, sio kwa sababu hawana kazi… bali kwa sababu hawana maarifa.
Na maarifa yako kwenye kurasa.
Kupata tafsiri ya hivi vitabu vitatu (3),
Tuma ujumbe "NATAKA TAFSIRI YA VITABU VITATU"
Kwenda 0750376891.
Karibu.
0750376891.
Mkufunzi Ramadhan Amir.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni