‎🔥Siri Za Hadithi Zinazouza Kama Kichaa , Mfumo Wa The Hero’s Journey!🔥 ‎

Kakaa/Dadaa Yangu.... Wewe unajua kwanini hadithi zingine zinaburudisha mpaka unashindwa kutoka kwenye screen? ‎ ‎Unajua kwa nini mtu anakusimulia story mpaka unajikuta unaitikia, *Duh! Alafu ikawaje?* ‎ ‎Basi sikia hii... ‎ ‎Wauzaji wengi wanaandika hadithi ambazo hazigusi hisia. ‎Ni kama kuangalia movie ya kuchosha kwenye slow motion. ‎Wateja hawajali. Wanaskip. Wanapotea. ‎ ‎Lakini... ‎Kuna mfumo mmoja wa KISANII, wakisanii mbaya, ambao ukishaujua, utawakamata watu kama sumaku. ‎ ‎Unaitwa: Hero’s Journey. ‎ ‎Ni mfumo wa hadithi ya shujaa. ‎Yaani mtu wa kawaida, anakutana na changamoto, anapambana, anakata tamaa, anasimama tena, na mwisho anashinda. ‎ ‎Kama Simba kwenye Lion King. ‎Kama Neo kwenye Matrix. ‎Kama wewe kwenye maisha yako. ‎ ‎Sasa tatizo ni hili... ‎Watu wanajaribu kuuza bila kuleta safari ya kihisia. ‎Wanataka kuuza bidhaa kama vile ni maharage sokoni. ‎Wanakosa story. ‎Na bila story,hakuna connection. ‎ ‎Unasema bidhaa yako ni bora? So what? ‎Wateja wanataka kujihisi w...

‎Siri Ya Kusoma Vitabu Vingi Bila Kuvisahau.....

 

‎Kakaa/Dadaa Yangu...

‎Unasoma kitabu leo... kesho umesahau kila kitu.

‎Ushaona hiyo kitu? Inachosha. Inakatisha tamaa.

‎Unajikuta unasoma tu, lakini hamna unachobeba.

‎Kama umewahi kujisikia hivyo… karibu kwenye club yetu.

‎Lakini leo nataka nikuambie kitu cha maana sana.

‎Siri ambayo wengi hawajui.

‎Siri ya kusoma vitabu vingi bila kuvisahau.

‎Na kuvitumia kukuinua maishani.

‎Unasoma, unasahau. Unasoma, unasahau.

‎Kama vile ubongo wako unazima mara tu ukifunga kitabu.

‎Unajikuta unarejea kwenye maisha ya zamani.

‎Unasema “Aaah, kile kitabu kilikuwa kizuri sana…”

‎Lakini ukuliza ulijifunza nini? Unashindwa kusema.

‎Inaumiza. Sana.

‎Ni kama unakula chakula kizuri, lakini mwili wako haukipokei.

‎Hakuna nguvu. Hakuna mabadiliko. Hakuna matokeo.

‎Lakini tatizo si wewe.

‎Tatizo ni mbinu unayotumia.

‎Watu wengi husoma vitabu kama vile wanasoma gazeti.

‎Wanakimbia. Wanamaliza haraka.

‎Wanataka kumaliza kurasa nyingi bila kutafuna kilichoandikwa.

‎Halafu wanashangaa kwa nini hawabadiliki.

‎Ndio maana hata baada ya kusoma vitabu 10…

‎Maisha yao bado hayajabadilika.

‎Kipato bado ni kilekile.

‎Tabia zilezile.

‎Na ndoto bado hazijaguswa.

‎Hebu nikufundishe siri moja kali sana.

‎Kama kweli unataka kusoma bila kusahau…

‎Fanya hivi:

‎1. Soma kwa sauti. Ndiyo, usione haya. Sauti inasaidia ubongo kukumbuka.

‎2. Andika mistari inayokugusa. Si kusoma tu tafuna. Tafakari. Tafsiri.

‎3. Tumia kile unachosoma. Usisubiri. Jaribu. Ongea nacho. Fundisha wengine.

‎4. Rudia mara kwa mara. Ndiyo maana kuna repeat kwenye muziki na kwenye vitabu pia!

‎Na kama unataka kwenda level nyingine…

‎Kuna kitabu kipya kimetoka.

‎Kali kinoma kinachobeba haya yote kwa undani.

‎Kinaitwa “NGUVU YA VITABU”

‎Hiki sio kitabu cha kukutisha kwa misamiati.

‎Ni kama vile unazungumza na rafiki yako wa karibu.

‎Kinakufundisha:

‎Jinsi ya kuchagua vitabu sahihi

‎Mbinu za kusoma haraka lakini kwa kina

‎Njia ya kubadili usomaji kuwa matokeo

‎Na jinsi ya kuvigeuza vitabu kuwa pesa!

‎Na ngoja nikuambie hadithi moja fupi.

‎Jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kusoma… lakini alikata tamaa.

‎Kila kitabu anakisoma, anakisahau.

‎Mpaka alipopata kitabu cha “NGUVU YA VITABU” kwa bahati.

‎Akabadilika.

‎Leo hii anafanya kazi kubwa sana…

‎Anafundisha wengine…

‎Na anasema hivi:

‎“Sikujua kuwa tatizo halikuwa mimi bali mbinu zangu.”

‎Na wewe pia unaweza kubadilika.

‎Usiachwe nyuma.

‎Chukua nakala yako ya NGUVU YA VITABU leo.

‎Usome kama mwelevu, ukumbuke kama bingwa.

‎Maisha yako hayawezi kuwa vilevile tena.

‎Kama Upo Tayari Andika Ujumbe "NATAKA NGUVU YA VITABU"

‎Kwenda 0750376891.

‎Karibu.

‎Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection

Vitabu Gani Vilibadilisha Maisha Yangu?