Mbona Unataka Kunilazimisha KUSOMA? Hii Ndio Siri Ya Kusoma Bila Kujiumiza!
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Kakaa/Dadaa Yangu...
Kuna Watu Hupenda Kusoma Sana.
Wakiamka wanasoma.
Wakikula wanasoma.
Wakipanda gari wanasoma.
Lakini wewe?
Ukisikia neno “soma” unaona stress inakuja kama mawingu meusi.
Lakini sio kosa lako.
Uliwahi kulazimishwa kusoma.
Ulikaa darasani ukiangalia saa isogee.
Ukasoma ili ufaulu, si kwa sababu unataka.
Unajua Tatizo Liko Wapi?
Watu wanakudanganya eti:
*Tengeneza ratiba ya kusoma.*
Hawakuambii namna ya kuitengeneza ambayo haiwezi kukutesa.
Wewe si robot.
Wewe ni binadamu mwenye moods, pressure, akili na miguno.
Hebu Acha Hizi Ratiba Zenye Vifungo Kama Magereza.
Soma saa mbili hadi saa nne kila siku?
Saa tano asubuhi uanze na kitabu kizito?
Hapana.
Sio kila mtu anaweza hivyo.
Sasa Hebu Tujifunze Tofauti.
Kwanza, angalia maisha yako.
Wewe huamka saa ngapi?
Unakaa kwenye foleni?
Una muda wa kuscroll TikTok?
Hapo ndo panaitwa nafasi.
Usibadili maisha kwa ajili ya kusoma.
Badili ratiba ya kusoma ili iingie kwenye maisha yako.
Soma Ukiwa Upo Free.
Sio lazima iwe muda mrefu.
Hata dakika 3 zinatosha.
Ukurasa 1 tu kwa siku unaweza kukutoa mbali kuliko yule anayeanza na kurasa 50 siku ya kwanza, kisha anakata tamaa.
Ngoja Nikupe Story Ya Kaka Amani.
Jamaa alikuwa mvivu kupindukia.
Alisema vitabu ni vya watu wenye pesa.
Lakini alikua na ndoto ya kubadilika.
Akaanza na dakika 5 kila siku.
Sio kwa lazima.
Alisoma akiwa chooni.
Mara nyingine kwenye daladala.
Baada ya wiki 3...
Akaanza kubadilika.
Maneno yake yakaanza kubadilika.
Mtazamo wake ukabadilika.
Leo hii Amani anauza vitabu online.
Na watu wanamsikiliza kama vile google.
Sio kwa sababu alikuwa na akili nyingi.
Ni kwa sababu alijifunza kusoma bila kulazimishwa.
Na Wewe Unaweza.
Ukianza kwa dakika 3 tu kwa siku.
Ukurasa 1 tu kwa siku.
Mahali ulipo, kwa muda uliopo.
Hakuna pressure. Hakuna stress.
Hakuna ratiba za maumivu.
Nimekuandalia Mwongozo Special.
Utakusaidia kuanza kusoma kwa raha.
Bila force.
Bila mikono kukataa kushika kitabu.
Bila usingizi kukufuata baada ya sentensi ya pili.
Mwongozo huu utakuonesha jinsi ya...
✅ Kutengeneza ratiba isiyo na stress
✅ Kusoma bila kung’ang’ania
✅ Kuongeza maarifa bila kujilazimisha
Unausubiri nini?
👉 Kupata Mwongozo Kamili.
Tuma MWONGOZO,
Kwenda 0750376891.
Kumbuka, hakuna mtu aliwahi kufanikiwa kwa kulazimishwa.
Lakini wengi wamefanikiwa walipojifunza kusoma kwa raha.
Anza leo, kwa style yako.
Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana.
Mkufunzi Ramadhan Amir
0750376891.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni