Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Kuna Maelfu Ya Vitabu… Lakini Hiki Ndicho Kimenibadilisha Zaidi!...

 Weh!


‎Kakaa/Dadaa...


‎Sina hata haja ya kuzunguka sana.


‎Kuna vitu unaweza kuvipitia kwenye maisha mpaka ukahisi kama unatembea juu ya miiba.


‎Unaamka kila siku asubuhi, unaenda kutafuta... lakini maisha hayabadiliki.


‎Unapiga kazi sana kama punda, lakini mkononi  huna hata senti 5.


‎Mpaka unajiuliza, “Hivi kweli kuna njia ya kutoka hapa nilipo?”


‎Na mimi nilikuwa hivyo.


‎Kichwa kimejaa mawazo.

‎Moyo umejaa hofu.


‎Pesa ni ndoto.

‎Na kila mtu anakushauri kusoma vitabu, eti vitakubadilisha.


‎Lakini ukiingia kwenye mtaa wa vitabu utakutana na maelfu ya vitabu.

‎Na kila kimoja kinajifanya kiko na suluhisho ya changamoto zako.


‎Ila unajua nini?


‎Vingi ni kama soda isiyo na gas.

‎Vina maneno mengi... ila havikusaidii chochote.


‎Ni kama kupewa ramani ya dunia nzima ukiwa umepotea mtaa wa pili.


‎Lakini hiki kitabu...


‎We acha tu niseme ukweli,

‎Hiki kitabu kilinitoa shimoni.


‎Hakikuwa na maneno mengi ya kizunguzungu.


‎Kilikua kinasema ukweli ule unaouma, lakini unakufungua macho.


‎Kilikuwa kinaniuliza maswali nilikuwa nakwepa.


‎Kilikuwa kinanionesha jinsi najiharibu mwenyewe bila kujua.


‎Kikanifundisha jinsi ya kuanza na kidogo nilichonacho.


‎Nikajua nguvu iko ndani yangu, si kwenye mshahara wala connections.


‎Unataka kujua kitabu gani?


‎Subiri kwanza...


‎Ngoja nikuambie hadithi ya ukweli.


‎Mimi ni kijana wa kawaida kutoka mtaa wa kawaida.


‎Sikuwa na baba wa kumpokea mizigo akirudi kazini.

‎Sina mjomba wa serikalini.


‎Lakini siku moja, jamaa mmoja akanitumia link ya kitabu.

‎Akasema: *Soma hiki, halafu ujekunishirikisha.*


‎Nilipokisoma... nikalia.


‎Sio kwa sababu kilikuwa na story za kusisimua,


‎Hapana.


‎Nililia kwa sababu niliona ukweli wangu ndani ya kurasa zake.


‎Kilinifanya nikae chini na kuandika malengo.


‎Kikanifundisha nidhamu.


‎Kikanionesha jinsi ya kutumia buku moja kuanzisha biashara.


‎Ndiyo... buku moja!


‎Leo hii, siwezi kusema niko juu...


‎Lakini niko mbali sana na nilikokuwa.


‎Na yote ni kwa sababu ya hicho kitabu.


‎Sasa nasema hivi…


‎Kama unateseka.

‎Kama umechoka.

‎Kama unaona dunia inakuelemea…


‎Usisome vitabu vyote.


‎Soma hiki kimoja.


‎Hiki ndicho kimenibadilisha.


‎Na naamini kinaweza kukubadilisha na wewe pia.


‎Kujua ni kitabu gani, Tuma meseji *NATAKA KITABU KILICHOBADILISHA MAISHA YAKO*


‎Kwenda 0750376891.


‎Au Piga Simu 0750376891.


‎Na mimi nitakupa kitabu kilichobadilisha maisha yangu.


‎Karibu.

‎Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.



‎.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Faida 7 Za Kipekee Za Kusoma VITABU Kila Siku Hata Kama Ni DAKIKA 10 TU!

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...