Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Kitabu Bora Kwa Mwanafunzi, Mjasiriamali Na Mfanyakazi– Usipite Bila KUKISOMA! ‎


‎Kakaa/Dadaa Yangu...

‎Kuna tatizo kubwa sana.

‎Watu wanahangaika mchana kutwa.

‎Wanachoka.

‎Wanakatishwa tamaa.

‎Wanakazana ila pesa hazitoshi.

‎Unasoma hadi usingizi unakukataa, lakini bado maisha hayaeleweki.

‎Unafanya biashara, lakini kila siku unaishia na mia tano.

‎Umeajiriwa ,mshahara unamalizika kabla mwezi haujaanza.

‎Tatizo sio wewe.

‎Sio akili zako.

‎Tatizo ni kwamba… haujasoma kitabu hiki.

‎Kitabu kinaitwa "Nguvu Ya Buku"

‎Ni mwongozo mkali.

‎Umejaa mbinu.

‎Umejaa akili.

‎Umejaa moto.

‎Hebu jiulize…

‎Umeamka saa 11 alfajiri.

‎Umeenda kazini.

‎Umerudi jioni umechoka.

‎Kesho, unaamka tena… bila hata buku mfukoni.

‎Umewahi kujiuliza, hii ni maisha au ni kifungo?

‎Umewahi kujiangalia na kusema, “Naishi kweli?”

‎Huna amani.

‎Huna furaha.

‎Kila siku unajua lazima ukopeshane hadi mishahara.

‎Au utembee na deni la M-Pesa kama vile ni bangili.

‎Ni wakati wa kubadilika.

‎Na huwezi kubadilika bila maarifa.

‎Na maarifa hayaji tu, yananunuliwa.

‎Watu wengi husema:

‎“Sina muda wa kusoma.”

‎“Sina hela ya kununua vitabu.”

‎“Vitabu ni vya wasomi.”

‎Lakini ukweli ni huu…

‎Huna muda? Basi utapata muda wa kuwa maskini maisha yako yote.

‎Huna hela ya vitabu? Basi utatumia hela zako kwa matatizo kila siku.

‎Vitabu si vya wasomi tu, ni vya mtu yeyote anayetaka kuishi vizuri.

‎Unahitaji tu dakika 15 kwa siku.

‎Kila siku, soma kurasa 2 au 3.

‎Na ndani ya mwezi mmoja, maisha yako yanabadilika.

‎Kitabu hiki kinakufundisha vitu vitatu ambavyo shule haikufundishi:

‎1. Namna ya kutengeneza hela ukiwa na buku tu mfukoni.

‎2. Namna ya kuitunza hela yako hadi ikue kama mtoto wa mjini.

‎3. Namna ya kuwekeza hata kama wewe sio Milionea.

‎Kila funzo limeandikwa kwa lugha ya mtaa.

‎Hakuna kizungu mingi.

‎Ni kama vile unamsikiliza rafiki yako anakupa siri za mafanikio.

‎Unasoma na unajisikia:

‎“Kwa nini sikukutana na kitabu hiki mapema?”

‎Sikiliza hii…

‎Kuna dogo mmoja anaitwa Musa.

‎Alikuwa anauza mihogo kwenye foleni pale Ubungo.

‎Kila siku anapata buku tano hadi elfu moja.

‎Siku moja, akakutana na mtu akamwambia:

‎“Buku zako ndogo zinaweza kukujenga kama unajua.”

‎Akamnunulia kitabu hiki.

‎Baada ya miezi mitatu tu, Musa alikuwa anauza kwa app.

‎Anafanya delivery.

‎Ana mtaji wa laki mbili.

‎Na bado anasoma kurasa 3 kwa siku.

‎Musa hakuwa na degree.

‎Hakuwahi kufaulu sana darasani.

‎Lakini aliamua kujifunza.

‎Sasa anafundisha wenzake kwa sababu alianza na kitabu kimoja tu.

‎Usijidanganye.

‎Usingoje maisha yakusukume hadi ukate tamaa.

‎Chukua hatua.

‎Pata kitabu hiki.

‎Soma.

‎Tumia.

‎Tazama maisha yako yakibadilika taratibu kama jua linavyotoka polepole.

‎Nguvu Ya Buku, Hiki si kitabu, ni silaha.

‎Kwa mwanafunzi.

‎Kwa mjasiriamali.

‎Kwa mfanyakazi.

‎Chukua leo kabla haujachelewa.

‎Kesho utashukuru.

‎Kupata kitabu hiki kilichomsaidia Mussa,

‎Tuma ujumbe *NGUVU YA BUKU*

‎Kwenda 0750376891.

‎Karibu.

‎0750376891.

‎Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Mkufunzi Ramadhan Amir

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection