Stori; Kila Unachotafuta Kimeandikwa Tayari...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Hii hapa ni ile stori ya mama wa watoto Wawili...
Halima, mama wa watoto wawili kutoka Mbeya, alianza biashara ndogo ya *breakfast café*
Alikuwa na ndoto kubwa, lakini baada ya miezi mitatu wateja wakapungua.
Kila jioni aliuliza nafsi yake: *Labda chakula changu si kizuri… au sijui kutangaza?*
Akawa amechoka, amechanganyikiwa, na karibu akate tamaa.
Siku moja rafiki yake alimpatia kitabu:
📘 Awaken the Giant Within – Tony Robbins.
Halima hakuamini sana. Alisema: *Kitabu kitanisaidia kweli?*
Lakini akahisi sauti ikimnong’oneza: “Jaribu, hakuna cha kupoteza.”
Aliposoma sura chache, aligundua kuwa tatizo halikuwa chakula chake…
Ilikuwa mpangilio wa huduma na kukosa promosheni.
Akachukua hatua ndogo:
Akaandika menyu mpya yenye “grab-and-go.”
Akawapa punguzo wateja wa kwanza.
Akashirikiana na maduka jirani kwa promosheni.
Mara ya kwanza haikuwa rahisi, alihisi woga, lakini aliendelea kutekeleza.
Ndani ya miezi miwili, mauzo yalipanda kwa 70%.
Halima akatabasamu:
Akisema...
👉 *Majibu yalikuwa yameandikwa tayari, nilikuwa tu sijayasoma.*
Siri si kubahatisha, siri ni kutafuta majibu yaliyokwishaandikwa.
Vitabu ni ramani ya wale waliowahi kupita kwenye changamoto zako.
Kila unachotafuta, mafanikio, pesa, furaha, tayari kimeandikwa, kinasubiri wewe ukisome na kufanyia Kazi.
Leo andika swali moja linalokusumbua.
Chukua kitabu kinachoelezea jibu.
Soma dakika 5 tu, kisha chukua hatua kesho.
Kwa sababu…
Kila unachotafuta kimeandikwa tayari.
Kujifunza zaidi kamata kitabu kipya cha NGUVU YA KITABU,
Tuma Ujumbe "NGUVU YA KITABU" Kwenda 0750376891.
Karibu.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni