Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Njia 5 Za Kujichaji Unapohisi Uvivu Wa Kusoma....

‎Hii ni hadithi ya Juma...

‎Juma anaanza kwa kusimulia...

‎Jina langu ni Juma.

‎Nilikuwa nimeweka malengo ya kusoma kitabu kimoja kila mwezi.

‎Siku ya kwanza nilianza kwa nguvu.

‎Siku ya pili nikasoma robo tu.

‎Siku ya tatu nikalala nalo mkononi.

‎Siku ya nne nikaanza kusema:

‎“Nitaendelea kesho…”

‎Hadi nikajikuta sijasoma kitu kwa wiki nzima.

‎Na moyo wangu ukaanza kujichukia kimya kimya.

‎Siku moja, nilikumbana na post ya WhatsApp:

‎“Uvivu wa kusoma ni sauti ya ndani inayokuambia, ‘Hujui kwa nini unasoma.’

‎Gundua sababu, kisha jichaji kwa njia hizi 5.”

‎Iliniuma. Ilinigusa. Iliniwasha.

‎Nikaamua kuchukua hatua.

‎Lakini sauti ya ndani ikaniambia:

‎“Huna muda.”

‎“Umechoka.”

‎“Hata ukisoma, haitabadilisha maisha yako.”

‎Kwa muda mfupi nilitaka kuamini hizo sauti.

‎Lakini nikajiuliza swali moja:

‎“Kama kutokusoma kunanifanya nijisikie duni kwa nini nisiache uvivu huo?”

‎Nilijiunga kwenye group la WhatsApp la mafunzo ya kila siku.

‎Nikapiga simu kwa namba: 📞 0750376891

‎Nikatumiwa somo la bure:

‎“Njia 5 za kujichaji unapohisi uvivu wa kusoma.”

‎Na hizi ndizo zilizonibadilisha:

‎📌 Njia 5 Za Kujichaji Unapohisi Uvivu Wa Kusoma

‎Soma Sentensi 1 Tu

‎– Usilazimishe kurasa 10. Anza na mstari mmoja tu.

‎Badilisha Mandhari

‎– Hama chumba. Toka kitandani. Kaa kwenye mwangaza.

‎Sikiliza Audiobook Dakika 3

‎– Sauti ya maarifa huamsha ubongo kuliko unavyofikiri.

‎Tumia “Timer” Dakika 5

‎– Jisomee ndani ya muda mfupi. Ukimaliza, achana nacho au endelea.

‎Kumbuka Kwa Nini Ulianza

‎– Jiulize: “Nikisoma, nitakuwa nani kesho?”

‎Andika jibu kwenye karatasi.

‎Hilo ndilo umeme wako.

‎5. Jaribio Kubwa

‎Siku moja nikatumiwa kitabu kipya ndani ya group.

‎Nilikosa mood kabisa.

‎Lakini nikasema: "Niandike mstari mmoja tu."

‎Nikaandika.

‎Nikaingia kwenye audiobook dakika 3.

‎Mwisho wa siku, niliishia kusoma kurasa 17 bila kujua.

‎Tangu siku hiyo, nikaanza kusoma kila siku.

‎Kidogo kidogo lakini kila siku.

‎Nilijifunza zaidi ya nilivyowahi kusoma miaka 3 iliyopita.

‎Na maisha yangu yakaanza kubadilika.

‎Sasa, namshirikisha njia hizi 5 na kila mtu ninayekutana naye.

‎Na kila siku, najituma kuwasaidia wengine kuamka kutoka kwenye usingizi wa maarifa.

‎Ndiyo maana naandika hivi:

‎“Usijilazimishe kusoma jichaji tu kwa njia sahihi. Jiunge na Group letu la mafunzo ya bure.

‎📞 0750376891.”

‎Uvivu si adui wa maarifa ni ishara ya kukosa mfumo sahihi.

‎👉 Jiunge na Group la WhatsApp, ujifunze njia hizi na zingine nyingi bila malipo.

‎📞 0750376891

‎Usikae kimya wasaidie wengine pia.

‎📤 Share masomo haya kwa wengi zaidi, na wawaalimike wenzao.

‎Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Ramadhani Amir,

‎Mwandishi|Mkufunzi|Kocha.

‎0750376891

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection