Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎Jinsi Ya Kusoma Dakika 5 Na Kuchukua Pointi 10 Zitakazobadilisha Maisha Yako...




Rafiki Yangu Mpendwa,

‎Kumbuka....

‎Kila shujaa ana changamoto anayoipigania…

‎Na labda yako ni hii:

‎Unachukua kitabu kizuri mikononi, unaanza kusoma kwa hamasa kubwa.

‎Lakini dakika chache baadaye, macho yanachoka, akili inazurura, na unajikuta unasoma bila kuelewa chochote.

‎Mwisho wa siku, unasema: *Sina muda wa kusoma vitabu hivi kwa kweli.*

‎❌ Hapo ndipo ndoto nyingi za kupata maarifa na kubadilisha maisha zinakufa.

‎Lakini safari ya shujaa haishii hapo.

‎👉 Hapa ndipo siri ya Mortimer Adler kwenye kitabu chake cha How to Read a Book inapoingia.

‎Kuna mbinu rahisi sana ya kubadilisha hali hiyo: Soma Dakika 5 Pekee, Chukua Pointi 10.

‎Na kuna shujaa mmoja wa mtaani, Anayeitwa Juma kutokea Sinza,

‎Alijifunza mbinu hii.

‎Juma alikuwa mfanyabiashara mdogo wa kuuza chakula sokoni.

‎Alitaka kuboresha maisha yake na biashara, lakini hakupata muda wa kusoma vitabu vikubwa.

‎Alijaribu mara nyingi, lakini kila mara alishia katikati.

‎Mpaka siku moja, alipogundua mbinu hii ndogo lakini yenye nguvu.

‎Aliamua kujaribu:

‎Aliweka dakika 5 tu,

‎Akasoma kurasa chache zenye maana,

‎Na akaandika pointi 10 muhimu alizozipata.

‎Matokeo?

‎Biashara yake ikabadilika.

‎Alianza kutumia pointi hizo moja kwa moja sokoni, akaongeza wateja, na faida ikapanda.

‎Sasa Juma ni msomaji makini sana, si kwa sababu anasoma vitabu vyote,

‎Bali kwa sababu anachukua maarifa muhimu kwa haraka na kuyatumia.

‎Na sasa ni zamu yako.

‎👉 Leo chukua hatua moja rahisi:

‎Weka timer ya dakika 5,

‎Soma sehemu ndogo ya kitabu,

‎Chukua pointi 10 muhimu unazoweza kutumia mara moja.

‎Usisubiri muda mwingi.

‎Hatua ndogo ya leo inaweza kuwa mwanga wa safari kubwa kesho.

‎Kujifunza zaidi, soma kitabu hiki kipya cha *NGUVU YA KITABU*.

‎Kukipata Tuma Ujumbe "NGUVU YA KITABU"

‎Kwenda 0755376891.

‎Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Ramadhani Amir,

‎Mwandishi| Mkufunzi| Kocha.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection