Jinsi Vitabu Vinavyoweza Kukufungulia Milango Ya Ajira...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Rafiki Yangu,
Ally alikuwa kijana aliyetokea familia ya kawaida, aliyemaliza chuo miaka miwili iliyopita.
Alikuwa na cheti kizuri, lakini ajira hakuna.
Alituma maombi mengi ya Kazi Lakini hakuna aliyopata.
Akajua ajira ni kwa “wenye koneksheni.” tu!
Hayo ndiyo yalikuwa maisha yake,
Kila siku alikuwa akiamka asubuhi na kwenda kufanya kazi za vibarua na kulipwa 3,000.
Siku moja akiwa kwenye kibanda cha chipsi, alisikia kijana mmoja akimwambia mwenzake:
“Sikupata kazi kwa kuomba nilipata kwa kutumia kitabu.”
Ally aligeuka kwa mshituko!
Na kuuliza,
“Kitabu? Kazi? Vina uhusiano gani?”
Yule kijana akamwonyesha status ya WhatsApp Status yake.
“Kila ukurasa wa kitabu ni hatua moja kuelekea ajira yako. Usome au usomeke.”
Ally alitabasamu:
“Mi bana, siwezi kusoma! Nikisoma nasinzia.
Lakini kauli ile haikumtoka kichwani.
Usiku huo huo, moyo wake ulisema naye:
“Vipi kama hicho ndicho kitu kimoja ambacho umekuwa ukikikwepa, lakini ndicho kinachokukwamisha?”
Siku ya pili, alitafuta jina la yule kijana, akamwandikia:
“Nisaidie kaka, nataka kufungua ukurasa mpya.”
Akamkaribisha kwenye Group ya WhatsApp ya mafunzo ya kila siku.
Mafunzo yalikuwa bure, lakini ya thamani kubwa.
Somo la kwanza liliandika:
“Mtu anayesoma vitabu huwa na maneno ya kueleza ndoto zake. Na ndoto zinawavutia waajiri.”
Ally alianza na kurasa tano kwa siku.
Kitabu cha kwanza: “How Successful People Think.”
Siku ya sita, alijifunza:
"Ajira haipatikani kwa kuomba kazi, bali kwa kujua jinsi ya kujiposition kama suluhisho."
Akaanza kuandika barua tofauti si barua za kuomba, bali za kuonyesha thamani.
Watu wa karibu wakamwambia:
"Acha kusoma vitabu vya kizungu, havitakupeleka mbali."
Lakini tayari alianza kuona mabadiliko:
Aliandika post moja tu kwenye LinkedIn, akapata meseji 10.
Akaanza kuitwa kwenye interviews.
Kampuni moja ya mawasiliano ikatangaza nafasi.
Ilihitaji mtu anayejua kuwasiliana kwa ufanisi.
Ally alitumia mbinu alizojifunza:
– Akaandika barua yenye hadithi.
– Akaelezea changamoto alizowahi kushinda.
– Akaambatanisha kifupi: “Mimi ni matokeo ya kile ninachosoma.”
Wiki moja baadaye alipigiwa simu.
Akaajiriwa kama msaidizi wa masoko!
Mwezi wa kwanza alipokea mshahara ambao aliwahi kuuota tu.
Baada ya miezi mitatu alipandishwa cheo.
Sasa anasafiri, alihudhuria makongamano, alitoa mafunzo mashuleni.
Ally hakusahau alikotoka.
Akatengeneza PDF yenye orodha ya vitabu vilivyomsaidia.
Akaandika:
“Hiki ndicho nilikikosa chuoni. Somo la jinsi ya kujijenga kabla ya kujengwa.
Msisubiri ajira jifunzeni kujiuza kwa maarifa.”
Akaanza kuhamasisha vijana kujiunga kwenye Group la mafunzo.
📞 Wasiliana: 0750376891
Soma kidogo. Elewa sana. Jieleze vizuri. Upate ajira.
👉 Jiunge kwenye Group la WhatsApp upate mafunzo ya bure kila siku.
📞 0750376891
👉 Washirikishe wengine pia.
👉 Waalike wapate mabadiliko.
👉 Wawaalimike na wafaidike kama wewe.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Ramadhani Amir,
Mwandishi| Mkufunzi| Kocha.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni