Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

Siri Ya Watu Kuwa Na Bahati Ya Kuvutia Wateja

Hapo nyuma,

‎“Nilidhani Bahati Ni Ya Wachache Tu… Mpaka Nilipojua Ukweli Uliofichwa na Waliobahatika”

‎Nilikuwa na duka dogo la simu na vifaa vya kielektroniki. 

‎Kila siku nilifungua kwa matumaini, lakini wateja walikuwa wachache kama mvua jangwani.

‎Nilijipa moyo: “Labda kesho itakuwa nzuri.”

‎Kesho ilifika kimya. Wiki ikapita bado hakuna mabadiliko. 

‎Nilianza kuamini pengine bahati haijawahi kunitazama.

‎Kisha nikawa na swali la siri moyoni:

‎“Mbona wengine wanauza kila siku, tena bidhaa zinazofanana na zangu? Nini siri yao?”

‎Siku moja, nilikuwa Facebook nikisoma post za kawaida. Nikakutana na chapisho lenye maneno haya:

‎“Watu wanajua jinsi ya kuvutia wateja… Wewe je? Siri haiko kwenye bidhaa, iko kwenye akili yako.

‎ Jiunge na Group la Mafunzo Bure.”

‎Moyo wangu ulishtuka! Kama vile mtu amenigusa kwenye jeraha.

‎Nikajisemea, “Hii ni kama imeandikwa kwa ajili yangu.”

‎Lakini kisha nikaanza kujiuliza:

‎“Hivi haya mambo ya mafanikio mtandaoni si ya kupita tu? 

‎Si ya wasanii wanaoishi kwa likes?”

‎Nikafunga simu. Nikaendelea na maisha yangu ya kimya.

‎Lakini wazo halikuniondoka. Nikawa nikilala nalo, naamka nalo. Sauti ya ndani ikazidi kunisumbua:

‎“Fursa ya kubadilisha maisha yako ipo hapa. Utaipuuza hadi lini?”

‎Hatimaye, nikaamua. Nikawasiliana na namba ile – 0750376891.

‎Nilijiunga na Group.

‎Post ya kwanza niliyoona ilikuwa:

‎ “Biashara yako haitakui kwa sababu bidhaa ni nzuri  inakua kwa sababu watu wanakuamini, wanakuelewa, na wanajisikia salama kununua kutoka kwako.”

‎Nikagundua kitu kikubwa:

‎Siri ya kuvutia wateja si uchawi, ni maarifa.

‎Kila siku nikawa napokea somo moja.

‎Siku ya tano, niliandika tangazo kwa kutumia somo nililojifunza.

‎Nikaweka WhatsApp status yangu.

‎Siku hiyo hiyo, nikaingiza oda 4.

‎Nikajisemea: “Kwa miaka yote nilikuwa natafuta bahati kumbe bahati ni elimu ya kunivusha.”

‎Kadri nilivyoendelea, nilikutana na changamoto.

‎Wapo waliodharau. Wengine wakasema, “Unaharibu muda wako kwenye groups za watu wasiojulikana.”

‎Lakini pia nilipata marafiki wapya  wajasiriamali waliopitia yale niliyopitia.

‎Tulijifunza pamoja, tulikosea pamoja, tukasahihisha.


Hayo ni maneno ya AMOSI,

‎Kuungana na Wajasiriamali na wafanyabiashara kama Amosi zaidi ya 100,

‎Wasiliana na 0750376891.

‎Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Ramadhani Amir,

‎Mwandishi| Mkufunzi Wa Mauzo Yenye MAFANIKIO| Kocha Wa MAFANIKIO Ya Mauzo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection