Hii Ndiyo Siri Elon Musk Aliyoificha: Vitabu 5 Vilivyompa Akili Ya Mabilioni!
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Wengi tunapenda mafanikio ya Elon Musk.
Tunasikia Tesla, tunatamani SpaceX, tunatamani kuwa kama yeye.
Lakini hatujui alifika vipi hapo.
Wengi tunahangaika bila ramani.
Tunapoteza muda TikTok, tunazunguka kwenye magroup ya WhatsApp bila mwelekeo.
Elon hakujifunza mambo haya darasani.
Alijifunza vitabuni.
Ndiyo, vitabu.
Na si vitabu vya "Jinsi ya Kupata Mpenzi Kwa Siku Moja!"
Ni vitabu vya kuchonga akili kuwa mashine ya kutengeneza mabilioni.
Unalala na simu mkononi.
Unasubiri motivator wa Instagram akuvutie kwa clip ya sekunde 15.
Wewe bado unasema “Siku moja nitafanikiwa!”
Lakini Elon Musk alikula vitabu.
Aliwasoma kina Benjamin Franklin, kina Asimov.
Wewe unasoma tu captions za memes.
Na unategemea maisha yabadilike?
Utaendelea tu kufuta machozi kwenye pillow ya bei rahisi.
Watu wengi wanaamini mafanikio ni “Koneksheni” tu.
Ama eti ni lazima uzaliwe kwenye familia ya kitajiri.
Elon hakuzaliwa hivyo.
Alikua bullied, alikua mpweke, alikua mrefu lakini sio popular.
Ila kitu kimoja kilichompa nguvu ni:
Vitabu.
Alisema mwenyewe:
"I was raised by books, and then my parents."
Kwa hiyo...
Excuses zako kwamba huna support hazihold maji mbele ya ukweli huu.
Tatizo ni kwamba hauko tayari kusoma.
Unataka ubongo wa pesa?
Soma vitabu vya akili kubwa.
Vitabu vya Elon Musk si vya kuchosha
vinawasha moto wa ndani.
Na hapa nitakutajia baadhi:
✅ Structures: Or Why Things Don’t Fall Down – J.E. Gordon
✅ Benjamin Franklin: An American Life – Walter Isaacson
✅ The Lord of the Rings – J.R.R. Tolkien
✅ Foundation Series – Isaac Asimov
✅ Zero to One – Peter Thiel
Hivi vitabu vinafundisha:
• Jinsi ya kufikiri kama mvumbuzi
• Jinsi ya kuunda mfumo unaofanya kazi
• Jinsi ya kusimama hata bila support
• Na jinsi ya kuchukia kuwa mtu wa kawaida
Kuna wakati Elon alikuwa analala ofisini.
Alikua hana hela ya kupanga.
Lakini alikuwa na daftari, kalamu na kitabu mkononi.
Kila usiku kabla ya kulala, alisoma hata kurasa chache.
Alisema: “Books taught me what’s possible.”
Leo hii?
Ni Tajiri NAMBA Moja duniani.
Kama alitoka huko mpaka hapa.
Na chombo chake kilikuwa ni vitabu.
Wewe unasubiri nini?
Unasema unataka kufanikiwa?
Anza na kurasa moja tu kila siku.
Jichukulie kitabu kimoja kutoka kwa orodha ya Elon.
Ukianza, utaona jinsi akili yako inabadilika.
Utaanza kuona opportunities kila kona.
Elon hakuwa na miujiza.
Alikua na vitabu.
Na wewe pia unaweza kuwa na hivyo.
👉 Swali ni moja tu: Utasoma lini?
Vitabu Hivi Vinapatikana Hapa 👇
Piga Simu Au Tuma Ujumbe "Vitabu"
Kwenda 0750376891.
Karibu.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan Amir.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni