Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎🔥 Watu Wengi Wanakufa Maskini SABABU Hii Moja TU (Na Hujawahi Kuisikia Kwa Mtindo Huu) 🔥

 ‎‎Kakaa/Dadaa...

‎Unajua shida ya watu wengi?

‎Wanasoma sentensi tatu… wanachoka.

‎Wanapata link ya eBook… wanadownload, hawafungui.

‎Wanapewa ushauri wa kubadilisha maisha yao… wanaskip, wanacheka.

‎Na bado wanataka mafanikio. 😂

‎Sasa ngoja nikuulize kitu kimoja tu…

‎Kwanini huwa unasoma vitu vichache kisha unaacha?

‎Unajisikia kuchoka? Kukosa muda? Au ni akili inakataa tu?

‎📍 Hamasa ya Kusoma?

‎Hii kitu inaitwa CURIOSITY – ile hamu ya kujua zaidi.

‎Ni kama moto mdogo unaowaka ndani.

‎Ukikosa hii kitu kusoma kwako ni kama kulazimisha mtoto kula mboga.

‎💥 Wengi Wanaoanza Kusoma Wanapotea Kwa Sababu Hii…

‎Wanadhani mtu huzaliwa tu na hamasa ya kusoma.

‎Eti wengine ndio wameumbwa kupenda vitabu.

‎Eti wao akili zao ni za kuangalia video tu.

‎Huo ni uongo wa kishetani!

‎Hamasa inajengwa! Inalelewa! Inachochewa!

‎Na nitakuonyesha kivipi.

‎Hiviii...

‎Umeshawahi kumuona mtu anavyokodolea macho post ya “Alichomkuta Maiti Usiku…”

‎Au “Jambo la Kushtua Lililotokea Kwa Huyu Jamaa Baada ya…”

‎Hapo akili yote inasimama.

‎Anataka kujua mwisho wake uko wapi.

‎Hiyo ni curiosity.

‎Na hiyo curiosity ndiyo dawa ya uvivu wa kusoma.

‎🧠 Sasa Sikiliza... Nataka Nikufundishe Siri Moja Kali

‎Curiosity inajengwa kwa hatua hizi tatu:

‎1. Uliza maswali ya ajabu.

‎Mfano: “Kwanini watu maskini hupenda kulalamika kuliko kutafuta suluhisho?”

‎2. Anza na kitu cha kushtua.

‎Mfano: “Nilijua nimekufa, kumbe ndo siku nilizaliwa upya…”

‎3. Acha story ikatike katikati (acha watu watake kujua zaidi).

‎Mfano: “Lakini sikujua kuwa nyuma ya mlango kulikuwa na kitu hiki…”

‎Ukifanya hivi, unafungua akili ya mtu kama mlango wa gereji.

‎Anaanza kufikiri. Anaanza kutamani.

‎Na hapo – anataka kusoma zaidi.

‎🙅🏾‍♂️ Wale Wanaosema “Siwezi Kusoma Sana” Wadanganyifu Wakubwa

‎Wanaweza kuangalia series ya masaa 8.

‎Wanaweza kukaa TikTok hadi betri ikatae.

‎Lakini kusoma paragraph 3? Ooh, wanasema "hii ni ndefu".

‎Sio kwamba hawawezi kusoma.

‎Ni kwamba hawajawahi kufundishwa kuvuta curiosity yao.

‎✅ SULUHISHO?

‎Anza kujiuliza maswali yasiyo ya kawaida.

‎Uliza kitu hata kama hakina jibu moja kwa moja.

‎Alafu tafuta majibu yake kwa vitabu, makala, video sahihi.

‎Soma si kwa sababu umetakiwa –

‎Soma kwa sababu kuna kitu ndani yako unataka kujua.

‎Hiyo ndivyo curiosity inavyojengwa.

‎🎤 Story ya Mtaa: Jamaa Aliyebadilika Kwa Kuamka na Swali Moja

‎Kuna msee mmoja mtaani kwetu…

‎Anaitwa Sudi. Jamaa alikuwa mvivu kuliko jua la mchana.

‎Vitabu kwake vilikuwa kama adui.

‎Siku moja, akaona post moja:

‎“Kwanini watu matajiri huwa hawaposti maisha yao?”

‎Swali likamgonga kama risasi ya baridi.

‎Akalichunguza. Akasoma. Akagundua.

‎Leo hii anaandika eBook zake.

‎ Anafundisha wengine.

‎Yote ilianza na curiosity ya swali moja tu.

‎🔥 Sasa Ni Zamu Yako...

‎Acha kusoma kwa sababu unalazimishwa.

‎Anza kusoma kwa sababu kuna kitu ndani yako unaataka kujua.

‎Jenga curiosity yako.

‎Usisubiri upate mood 

‎Chochea hiyo mood kwa kuuliza maswali yasiyo ya kawaida.

‎💬 Una swali lolote la ajabu linakutesa kichwani? Andika hapa chini…

‎Labda hilo ndilo litakuwa mlango wako wa mabadiliko.

‎Anyway, kama bado hujapata vitabu basi tuma ujumbe *NATAKA VITABU*

‎Kwenda 0750376891.

‎Karibu.

‎Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

‎Mkufunzi Ramadhan.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection