Siri Za Hadithi Za Mauzo...

 *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Rafiki Yangu, Wauzaji wengi wanahangaika kuandika matangazo yanayouza. Wanaandika, lakini hakuna anayeona, hakuna anayeuliza, hakuna anaye nunua. Ni maumivu makali kuona mtu mwingine anauza bidhaa kama yako, Lakini wewe unabaki unalalamika *soko ni gumu.* Kitabu *Siri Za Hadithi Za Mauzo* Kinakuonyesha namna ya kuandika hadithi zinazogusa mioyo, zinazoeleza, zinasisimua, na hatimaye zinauza. Utajifunza kuandika maandiko yanayovutia macho, yanayobeba hisia, na yanayobadilisha wasomaji kuwa wanunuzi. Pata nakala yako leo. Kwa kuwasiliana na 0755376891. PS; Anza kuandika hadithi zinazouza badala ya maneno yasiyoleta matokeo.

‎ ‎Kwa Nini Watu Maskini Hawapendi Kusoma Vitabu

 ‎



‎Kaka/Dada,


Huu Ni Ukweli Unaoumiza Lakini Utakusaidia.

‎Maskini wengi hawapendi kusoma vitabu.

‎Umeshawahi kujiuliza kwa nini?

‎Yaani mtu anaishi maisha magumu…

‎Lakini ukimpatia kitabu cha bure chenye maarifa ya kutoka hapo alipo anakudharau.

‎Akiwa online, anaweza kucheka video 20 za utani…

‎Lakini video moja tu ya mafanikio, ya dakika mbili ataisema:

‎“Hayo mambo ya matajiri.”

‎Hapo ndipo utagundua:

‎Umaskini hauanzi mfukoni… unaanzia kichwani.

‎Tatizo Halipo Tu Kwenye Pesa

‎Watu wengi waliokata tamaa si kwamba hawana pesa...

‎Ni kwamba hawana maarifa.

‎Wanajua mpira, wanajua drama za mastaa, wanajua nani kapigana na nani...

‎Lakini hawajui jinsi ya kuongea vizuri ili wapewe kazi.

‎Hawajui njia rahisi ya kuweka akiba kidogo kila wiki.

‎Hawajui hata kusoma CV yao vizuri.

‎Sababu?

‎Hawajawahi kupewa nafasi ya kuamini kuwa vitabu vinaweza kuwasaidia.

‎Kuna Uongo Umekaa Kama Ukweli

‎ “Mimi si mtu wa vitabu.”

‎ “Mimi shule ilinichosha.”

‎“Sina muda wa kusoma.”

‎Huo ni uongo ulioota mizizi.

‎Leo hii mtu ana muda wa kuchat usiku kucha, kuangalia movies na memes…

‎Lakini hana dakika 10 tu za kusoma eBook ya ukurasa 10.

‎Na ajabu ni hii:

‎Maarifa ni yale yale yanayotumiwa na matajiri kuendelea kutajirika.

‎Ukijifunza Peke Yako, Unakuwa Na Nguvu.

‎Hujaenda chuo?

‎Huna cheti?

‎Hakuna shida.

‎Soma.

‎Jifunze marketing.

‎Jifunze psychology.

‎Jifunze kuandika vizuri.

‎Vitabu, podcasts, na mafunzo ya eBook ni njia rahisi ya kuanzisha safari ya mabadiliko.

‎Usikae ukisubiri serikali au wafadhili.

‎Maisha yako ni jukumu lako.

‎Hadithi Yangu Halisi – Ramadhani Amiri

‎Mimi nilikuwa sina chochote.

‎Familia ya kawaida. Hakuna connection. Hakuna hela.

‎Nilianza kusoma vitabu nikiwa na simu ya tochi.

‎Nilikaa cyber, nikasoma eBooks za mafanikio.

‎Nikagundua ndoto zangu hazitegemei hali yangu ya sasa.

‎Zinategemea maarifa ninayoyaweka kichwani.

‎Nikaanzisha kampeni ya Nguvu ya Vitabu.

‎Leo hii, watu wamenitumia ujumbe:

‎ “Buku moja imenifanya niamini tena ndoto yangu.”

‎Na hapo ndipo nikaanzisha Akili Kwanza Consultants kampuni inayofundisha watu kufikiri kisomi bila kungoja cheti.

‎Unataka Kubadilika? Fanya Hivi Leo:

‎1. Chagua eBook moja tu rahisi.

2. Soma kurasa tano kila siku.

‎3. Maliza kitabu kimoja kila mwezi.

‎4. Fanya hivyo kwa miezi 12 maisha yako yatabadilika.

‎Vitabu vitakufunulia:

‎Njia za kuongeza kipato

‎Mbinu za kuacha matumizi ya ovyo

‎Mikakati ya kuanza bila mtaji

‎Siri za kuongea na watu wenye nafasi

‎Anza Sasa Kabla Mwaka Haujaisha.

‎Weka oda ya eBook ya Nguvu ya Buku hapa, 👇 

‎0750376891 

‎Au niandikie  Nguvu Ya Vitabu,

‎Kwenda 0785376891

‎Nitakutumia vitabu vya kuanzia.

‎Usikubali kubaki nyuma kwa sababu ya uvivu wa kusoma.

‎Mkufunzi Ramadhan

0785376891.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

‎Mbinu 7 Za Kukumbuka Unachosoma Katika Vitabu Bila KUSAHAU TENA... ‎

‎Jinsi Ya Kutumia Vitabu Kujenga Maisha Na Biashara Bila Mtaji Mkubwa...

‎Hatua 7 Rahisi Za Kuanzisha Ndoto Yako Bila Mtaji Mkubwa- Hata Kama Huna Connection